Iringa: Natafuta mke, mwakani nataka nioe

Wakuu nimechoka kuishi gheto , mchumba niliyekuwa nae alisema bado hajawa tayali kuolewa.

Umri - miaka 36..

Kazi-Seremala

Mwanamke awe na miaka 28 kushuka chini, na asiwe mpare na awe anaishi Ndani ya mkoa wa Iringa.

Mwenye sifa aje PM.
Wapare Wana shida gani mkuu?πŸ€”
 
Sijawahi kukanyaga hilo jukwaa kabisa 🀣

Jitahidi kula mboga za majani upate kumbukumbu nzuri
Ni wewe mkuu ngoja ni screenshot maana niliona ushauli wako unasema kuhusu mafuta ya karanga na faida zak
 
Hahaha sawa nasubiri, kama kweli ni mimi basi utapokea voucher ya Tsh 50,000 chaaaap kwa njia yoyote unayotaka wewe 🀣
 
Wakuu nimechoka kuishi gheto , mchumba niliyekuwa nae alisema bado hajawa tayali kuolewa.

Umri - miaka 36..

Kazi-Seremala

Mwanamke awe na miaka 28 kushuka chini, na asiwe mpare na awe anaishi Ndani ya mkoa wa Iringa.

Mwenye sifa aje PM.
Yaani mabinti wa Iringa ambao wao wenyewe wanaomba simu then anakuandikia namba yake napo umekosa?
 
Hahaha sawa nasubiri, kama kweli ni mimi basi utapokea voucher ya Tsh 50,000 chaaaap kwa njia yoyote unayotaka wewe 🀣
Screenshot_2024-12-24-19-08-49-947_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom