Iringa: Natafuta mke, mwakani nataka nioe

Iringa: Natafuta mke, mwakani nataka nioe

aaaah wanawake kataa ndoa jitafute kwanza
 
Hahaha kugundua rahisi kabisaa,hizo fronts and style tofauti na hizo names ziliko like na nyingine.
Aaaaah wapi...
Sema nini ujue hiyo ni kazi ambazo nikipata management naweza fanya kitu hapo mkuu..
Au wee ujawaza kitu hapo 😀😀😀
 
Mm Mshangazi ananitosha japokuwa cha wote aka jamvi la wageni mtu yoyote akija anatandikiwa ila namuoa mwakani hivyohivyo. Nawaolea wahuni
 
Wakuu nimechoka kuishi gheto , mchumba niliyekuwa nae alisema bado hajawa tayali kuolewa.

Umri - miaka 36..

Kazi-Seremala

Mwanamke awe na miaka 28 kushuka chini, na asiwe mpare na awe anaishi Ndani ya mkoa wa Iringa.

Mwenye sifa aje PM.
Alikudanganya, aliona huna hela.
 
Hahaha usipanic kijana, life start at 40.

Bado unamuda, piga randa hiyo.
 
Back
Top Bottom