Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,208
- 14,143
π Unaenda na beat sio, vijana wa sasa mnataka demu kwa kisingizio Cha ndoa, akijaa kwenye mfumo mnamtema.Na mimi mkuu natafuta mke huko huko
Hapana mkuu mi sijawahi acha mwananmke kizembe..π Unaenda na beat sio, vijana wa sasa mnataka demu kwa kisingizio Cha ndoa, akijaa kwenye mfumo mnamtema.
Oohh!! Na Bado upo online JFπ huko kwenu Mtaani hakuna!?.Hapana mkuu mi sijawahi acha mwananmke kizembe..
Kiufup nimechoka kukaa single ..
Wee assume hapa nina mikazi kibao na bado nguo sijafua..
Ndani pachafu kiufupi nataka mwenza ..
Mi sio pesa zangu zinaishia kubeti tuu nataka mwenza ale matunda yangu...
Nataka na mimi nighalamikie mkuu
Mkuu mbona kama una nidhihaki..Oohh!! Na Bado upo online JFπ huko kwenu Mtaani hakuna!?.
Shida yake nini kuwa na mke wa Mtaani hapo!??Mkuu mbona kama una nidhihaki..
Oky kiufupi huku mtaani wapo lakini mpaka nimekuja huku jua nahitaji mtu sahihi ..
Mtaani hapa sio pa kua na mtu nahitaji mtu ambaye atakua mgeni na haya mazingira..
Anaogopa kuchajiwa.......unajua wale hutoa service kama washomireeHawa watani wetu Wapare wamefanya nini tenaπ
Na mimi naongeza ombi juu yako hapo, mke nataka toka huko huko aliko mleta madaNa mimi mkuu natafuta mke huko huko
Halafu baadae akibarikiwa na kuwa na viwanda vikubwa.........................................Kama nawaona wadada wanavyotimka baada ya kusoma fundi seremala.
Hakuna mchezo m'baya kama kubetHalafu baadae akibarikiwa na kuwa na viwanda vikubwa.........................................
Mmh hi chai kabisa sasa binti hatazaaje kabla hajavunja ungo au mm ndio sijui DR Mambo JamboMnyalukolo umekosa mke wa kuoa hapo Iringa? Tatizo la Iringa binti kabla hajavunja ungo keshazalishwa, na kabla ya kutimiza umri wa kupiga kura ni single Mother wa watoto 2.
Just a joke ila Iringa watoto wanazaa watoto.Mmh hi chai kabisa sasa binti hatazaaje kabla hajavunja ungo au mm ndio sijui DR Mambo Jambo
Alafu wewe ndo mana ile siku walikua wanakutukana...Na mimi naongeza ombi juu yako hapo, mke nataka toka huko huko aliko mleta mada
Umri : 41
Kazi : Hawker/street vendor