Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
ushahidi fake tatizo πMkuu nakufanganya vp sasa mbona unataka mambo yawe mengi daaah
How uwe fake mkuuushahidi fake tatizo π
PruvuuUmenidanganya
Hahaha! Editing tu hiyo kijanaHow uwe fake mkuu
Umeijua eeeeh πππππHahaha! Editing tu hiyo kijana
Weka link ,dau inaongezeka kama uko mkoa wenye supermarket yeyote kubwa Gift card inaongezeka dau hadi 70,000 TshPruvuu
Hahaha kugundua rahisi kabisaa,hizo fronts and style tofauti na hizo names ziliko like na nyingine.Umeijua eeeeh πππππ
Weee ilikua hivi an
Zulu man inaelekea zamani ulikua kijanawa hovyo ππππWeka link ,dau inaongezeka kama uko mkoa wenye supermarket yeyote kubwa Gift card inaongezeka dau hadi 70,000 Tsh
Aaaaah wapi...Hahaha kugundua rahisi kabisaa,hizo fronts and style tofauti na hizo names ziliko like na nyingine.
Kazi ndogo sana hiyoπ€£Aaaaah wapi...
Sema nini ujue hiyo ni kazi ambazo nikipata management naweza fanya kitu hapo mkuu..
Au wee ujawaza kitu hapo πππ
Alikudanganya, aliona huna hela.Wakuu nimechoka kuishi gheto , mchumba niliyekuwa nae alisema bado hajawa tayali kuolewa.
Umri - miaka 36..
Kazi-Seremala
Mwanamke awe na miaka 28 kushuka chini, na asiwe mpare na awe anaishi Ndani ya mkoa wa Iringa.
Mwenye sifa aje PM.
Sana hadi najiogopaZulu man inaelekea zamani ulikua kijanawa hovyo ππππ
Alikudanganya, aliona huna hela.