Iringa ni pazuri wakuu?

Iringa ni pazuri wakuu?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Sijafika Iringa mkoa naousikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo Iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani.

Naombeni picha za mji wa Iringa wakuu kuanzia Ruaha na Mjini na maeneo ya mabonde yanayoleta maji Rufiji.
 
Uchumi wa wilaya moja ya Mufindi unaweza kuifafananisha na wilaya gani au mkoa gani
 
Sijafika iringa mkoa naosikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani. Naombeni picha za mji wa iringa wakuu kuanzia ruaha na mjini na maeneo ya mabonde yanayoleta maji rufiji.
Bora iendelee kusikia hivyo hivyo,hakuna sababu ya kufika.
 
Back
Top Bottom