Ruaha Mbuyuni sio Iringa vijijini ni Kilolo.Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni watasafiri mpaka Igumbilo, kisha wapande mabasi kwenda Ihemi, na wale wa Mtera watapanda bus kwa utaratibu huohuo kitu ambacho siyo rafiki kwa muda hata uchumi
View attachment 2021173
Kuna wakati watumishi wa mohoro pwani walikuwa wanasafiri km 230 kwenda mkoani makao makuu , kibaha.!haka kaujinga kapo sehem nyingi , halmashauri zinajengwa maporini huko watumishi waende kuteseka
Mimi mwenyewe ndo najua ivyo nimebak nimeshangaa au sijaelewa labda.Ruaha Mbuyuni sio Iringa vijijini ni Kilolo.
Mbona ofisi zimejengwa Kalenga?
Ni bonge la ushangavu hili.Ruaha Mbuyuni sio Iringa vijijini ni Kilolo.
Mbona ofisi zimejengwa Kalenga?
Ifunda, Kalenga, Pawaga, Idodi Isimani hadi Mtera mpakani na Dodoma yote ni Iringa vijijini.Ni bonge la ushangavu hili.
Kwa ninavyojua Iringa vijini inajumuisha jimbo la Isimani tu.
Mtera ni mpakani, kuna Mtera Dodoma yenye ukame na Mtera ya Iringa yenye samaki. Mpaka inabidi liwe lile darajaMtera ni mkoa wa Dodoma kwa Kibajaj
Ruaha mbuyuni ni Kilolo na Kilosa!
Mapendekezo ya hao wazee wanaona pajengwe wapi au hata wewe unaushauri gani kwa hili.Nilikuwa nawasikiliza wazee fulani kwenye mjadala wao hapa mijini, wanashangaa maamuzi ya kujenga ofisi za Halimashauri ya Iringa Vijijini huko Ihemi, yaani kilomita 155 toka Mtera na kilometa 130 kutoka Ruaha Mbuyuni, ikimaanisha wananchi kutoka maeneo hayo mawili Mtera na Ruahambuyuni watasafiri mpaka Igumbilo, kisha wapande mabasi kwenda Ihemi, na wale wa Mtera watapanda bus kwa utaratibu huohuo kitu ambacho siyo rafiki kwa muda hata uchumi
View attachment 2021173
Veya YuveBee...ndauli!
Distance ni mzigo ukizingatia uchumi wa watu vijijini uko chini, ni bora wangejenga njiamanda ya TosaMapendekezo ya hao wazee wanaona pajengwe wapi au hata wewe unaushauri gani kwa hili.
Me naona panafaa maana panafikika kwa wote sababu kijiji cha ihemi kimepitiwa na Mbeya road