Iringa: Wakala wa malipo anaswa akidaiwa kuiba TSh Bilioni 2.1, Polisi wafanikiwa kuokoa TSh Milioni 956

Baada Ya Tukio Walitakiwa Wapewe Ajira Ila Kibongo Bongo Watatafutwa Kama Majambazi Wapatikane Wakiwa Hai Au Laa.
 
Hawa jamaa wameiba pesa, bila yakujipanga! Unaweza vipi kuiba pesa ndefu kama hii,na bado ukawa upo Tanzania unashangaa mataa??

Yaani nipige pesa kama hii,napotea kabisa Tanzania,narudi baada ya miaka kadhaaa
Unarudi kufanya nini?
 
Tako la nyani
 
Hizo pesa wezi walizitoa kutoka mfumo wa electronic kuwa cash. Wakanunua magari na vingine na kuficha mahali tofauti hivyo usishangae maana electronic bila kubadilisha kuwa hard cash wasingeweza kuzitumia.
 
mfumo wa hao selcom pia utakua sio mzuri kwenye kujifanyia audit ndani ya 24hrs..fraud inafanyika kwa muda kuanzia tar 9 mpaka 27 na ni mfumo unachezewa.

Au labda kama kuna insiders walikua wanasupport wizi kwa kufanya system edits.

Anyway that amount of money can buy you a new name and a passport anywhere in the world but they chose to baki na kazi iendelee..smh..typical effects za mwenge ..
 
Kwani bei ya hii Harrier hapa chini huwa ni kiasi gani?
Bora umesaidia wasiojua na wakacomment wakijidai wanajua😢. Sijui kwanini watu wengi hawapendi kujifunza na badala yaje wanakinbia kubeza bila kujua kuwa wao ndio hawajui😃🤔
 
Duuuu Mungu akupe nn,, ningekuwa mm ningekuwa namehama nchi nipo zangu Zambia,,, ila najua siyeye peke yake wapo wengine humo humo, isije ikawa kafara
 
Bora umesaidia wasiojua na wakacomment wakijidai wanajua😢. Sijui kwanini watu wengi hawapendi kujifunza na badala yaje wanakinbia kubeza bila kujua kuwa wao ndio hawajui😃🤔

JF ilishapoteza lile jina lake mbadala la "Home of great thinkers", limebakia lile la "Where we dare to talk openly"...
 
Vijana wa IT TZ(iringa) ambao watu wa jf wanawaita zero

wamepiga pesa (kuiba pesa)Tsh 2 billion,
baada ya kuingilia mifumo ya selcom pay

Hizo pesa wezi walizitoa kutoka mfumo wa electronic kuwa cash. Wakanunua magari na vingine na kuficha mahali tofauti hivyo usishangae maana electronic bila kubadilisha kuwa hard cash wasingeweza kuzitumia.

Huo wizi ulitokea lini na magari yalinunuliwa lin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…