Iringa: Wananchi wafunga barabara kushinikiza matuta barababarani

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Wananchi wa eneo la Kitwiru mkoani Iringa wamelazimika kufunga barabara kwa muda, wakishinikiza kuwekwa kwa alama ya wavuka kwa miguu au matuta, kutokana na matukio ya ajali za mara kwa mara za watu kugongwa katika barabara hiyo.

Wakazi hao wamesema wanawaomba Wakala wa Barabara. Tanzania (TANROADS) kuweka tuta eneo hilo kwa kuwa kuna shule karibu na eneo husika huku mistari ya pundamilia ipo mbali na hapo.

Diwani wa Kata ya Kitwiru, Dk Hamza Mumuhehe alipoulizwa amesemea kwa mujibu wa maelezo ya TANROADS kitaalamu eneo hilo ni ngumu kuweka tuta kwa kuwa kuna kona na mlima badala yake wakaweka matuta karibukaribu.
 
Tishio kwenye hilo eneo ni New Force, Sauli na Super Feo wanafukia matuta yote toka Tosa mpaka Igumbilo
 
Wooooote waliofunga barabara kuomba matuta hawana magari
 
Back
Top Bottom