Habari, Even MOre, asante kwa ujumbe wako.Mtu asiye fundi wa Taasisi hiyo na hana vifaa vya kufanyia kazi hiyo, hawezi kuifikia transfomer.
Nawasilisha
MWizi wa hiyo taransfoma ni wafanyakazi wenu wa Tanesco.Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.
Taaarifa hii tayari tunayo na tayari jeshi la polisi wanalifuatilia na tunaamini litapatiwa ufumbuzi na wahusika wanaendelea kutafutwa.
Asante.^FL
Habari, ndugu mteja.Tanesco, waseme wamepeleka wapi Transfomer
Mshagawana wafuatilie nini ?Habari, ndugu mteja na asante kwa kuwasiliana nasi.
Taaarifa hii tayari tunayo na tayari jeshi la polisi wanalifuatilia na tunaamini litapatiwa ufumbuzi na wahusika wanaendelea kutafutwa.
Asante.^FL
Wanathubutuje na umeme mkubwa kiasi hicho? Wakinaswa wanakuwa mkaa! Ni uharamia!WATU wasiojulikana wanadaiwa kuiba transfoma katika Kijiji cha Mafinga, Kata ya Kipengere, Wilaya ya Wangingβombe mkoani Njombe, tukio lililosababisha kukatika kwa huduma ya umeme katika Kitongoji cha Makela.
Tukio hilo linadaiwa kutokea jana, majira ya saa tisa usiku, baada ya umeme kukatika ghafla na kuwaacha wananchi wakidhani kuwa kulikuwa na hitilafu ya kawaida katika mfumo wa usambazaji wa umeme.
Akizungumza kwa njia ya simu, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mafinga, Eses Chaula, amesema baada ya umeme kukatika, wananchi waliwasiliana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakihitaji msaada wa kurejesha huduma hiyo.
Amesema wataalamu wa TANESCO walipofika eneo la tukio na kufanya ukaguzi, walibaini kuwa transfoma ilikuwa imeshushwa kutoka kwenye nguzo na vifaa muhimu vilivyokuwa ndani yake kuondolewa.
Chanzo : Habari leo
Sasa huo uchungizi unaoendelea, kuna jeshi limeshawahi kurudi kutoa za taarifa za uchunguzi wa vitu vya msingi?Habari, Even MOre, asante kwa ujumbe wako.
Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha uhalifu kwa namna yoyote ile.
Tayari jeshi la polisi linaendelea kuwasaka wahusika wote.
Asante.^FL
Zipped up my damn mouth!Sasa huo uchungizi unaoendelea, kuna jeshi limeshawahi kurudi kutoa za taarifa za uchunguzi wa vitu vya msingi?
Acha ujinga basi, kwani chadema ndo wameambiwa wale kwa urefu wa kamba zao?watakuwa chadema hao vilaza tupu sijui wanadhani watapeleka wapi nyara za serikali
Habari Holoholo , asante kwa kuwasiliana nasi.Mwananchi wa kawaida hawezi kufanya hivyo,ni TANESCO yenyewe
Ndugu Even MOre,Watumishi wenzenu wameiba sio wewe admin unaekaa ofisini acha kutetea ujinga, nani asiye fundi na vifaa maalumu anaweza kusogelea umeme mkubwa wa HT?
Ndugu Even MOre,Sasa huo uchungizi unaoendelea, kuna jeshi limeshawahi kurudi kutoa za taarifa za uchunguzi wa vitu vya msingi?
Lakini hawa wezi inaonekana ni watu wanaojua sana masuala ya umeme zaidi maana mtu asojua lolote kuhusu umeme ni vigum sana si ndio mkuu?Ndugu Even MOre,
Ndiyo, taarifa hutolewa kwa kuzingatia mipaka ya mamlaka husika. Kwa sasa, jambo la msingi ni kuliruhusu Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake ili kupata suluhisho la tatizo hili.
Asante.^FL
Kwahiyo watu kutoka nchi jirani wamekuja kuiba na kuivusha mpakani? Hicho kifaa kitafungwa wapi ambapo hakitasomeka na mifumo ya TANESCO ?Habari Holoholo , asante kwa kuwasiliana nasi.
Si sahihi kuhitimisha kuwa ni watumishi wa TANESCO bila taarifa zilizothibitishwa. Tayari Jeshi la Polisi linafuatilia suala hili, na wahusika wanaendelea kutafutwa.
Asante.^FL
Ndugu Even MOre,
Ndiyo, taarifa hutolewa kwa kuzingatia mipaka ya mamlaka husika. Kwa sasa, jambo la msingi ni kuliruhusu Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake ili kupata suluhisho la tatizo hili.
Asante.^FL
Afadhali useme wewe mkuu π€£Watumishi wenzenu wameiba sio wewe admin unaekaa ofisini acha kutetea ujinga, nani asiye fundi na vifaa maalumu anaweza kusogelea umeme mkubwa wa HT?