Iringa: Wasiojulikana waiba transfoma na kusababisha umeme kukatika

Iringa: Wasiojulikana waiba transfoma na kusababisha umeme kukatika

Kwahiyo watu kutoka nchi jirani wamekuja kuiba na kuivusha mpakani? Hicho kifaa kitafungwa wapi ambapo hakitasomeka na mifumo ya TANESCO ?

Semeni tu mmeifungua na kuipeleka kwingine na muache blaaa blaa
Habari ndugu mteja,

ni vema tukasubiri ripoti kutoka katika jeshi la polisi lenye dhamana ya kufatilia suala hili ili kubaini wahusika wa tukio hili.^HN
 
Afadhali useme wewe mkuu 🤣
Hivi mtu kama mimi nikavamie Transformer kwanza naanzia wapi.
Hao ni Tanesco wenyewe 😁
Habari ndugu mteja,
suala hili lipo katika mamlaka husika, hivyo tuendelee kusubiri ripoti sahihi kutoka kwao ili kujua waliohusika katika tukio hili.^HN
 
Kama transfoma zimegoma kuharibika, ninaweza haribiwa ili watu wapate kula
 
Aiseee ! Wasomi wanaamua kutumia usomi wao vibaya eti kwa kumkomoa aliyewapa elimu kumbe wanajidanganya.
Habari, wateja wetu.

Poleni na yaliotokea. Tunaomba tuendelee kuvumilia wakati jeshi la polisi inaendelea kufanya kazi yake juu ya hili suala.

Asante.^HN
 
Back
Top Bottom