Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #41
Jibu liko wapi pimbi wewe, unasema wameficha we umeona ukiwa wapi au jibirili alikuotesha kitu kimefichwa na Israel halafu Kobazi wa vingunguti kakiona hallucinations hizi😁Hahahaha huoni jibu au umechanganyikiwa nimekujibu kivitendo namna nilivyo jua.
Source ya taarifa Hizbollah na Hamas vp hao magaidi wao hajafa hata mmoja au siyo😁View attachment 3117519
⚡️⚡️⚡️The Walla website writes about the situation at Zif Hospital in Safed:
The hospital has received 110 wounded, among them soldiers injured by clashes, rocket fire and drones⚡️⚡️⚡️
Toa hoja kama mtu mwenye akili kutaja kanisa hakusaidii kushinda hoja sana sana unaonekana mpuuzi tu, au yaambie majini yakusaidie kujibu u-make sense kidogoKwani hatujui tabia yenu ya kutokuwa independent thinking badala yake hadi mlishwe matango pori kanisani ndiyo mje mharishe humu?
Nimehudhuria makanisani kwa malengo fulani nikashuhudia mahubiri ya uongo wa wazi na makondoo yanashangilia na kupiga makofi hadi yanagaragara.
Ninakupatia Live News upende uzikubali au ukatae. Source ipo chini,Source ya taarifa Hizbollah na Hamas vp hao magaidi wao hajafa hata mmoja au siyo😁
Rt na al jazeera wameripoti au source yako al mujahedeen? 🤣Jana. Na wapo kimya tu hawataki kusema.
Unajua maana ya bunkers au shule imepita kushoto😁 kwahiyo ukiona mtu yupo kwenye bunker unavyoelewa ameshindwa vita? Yani unashare vilnk vingi ambavyo havimake sense 😁Ninakupatia Live News upende uzikubali au ukatae. Source ipo chini,
THE NORTH OF THE ZIONIST REGIME IS ON FIRE
The pigs are all together in the bunkers
View attachment 3117523
View attachment 3117524
🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
Kelele kama kelele nyingine sioni cha maana hapo hebu fuatilia yule kamanda wa quds aliekuwepo beirut yuko wapi mpaka sasaNinakupatia Live News upende uzikubali au ukatae. Source ipo chini,
THE NORTH OF THE ZIONIST REGIME IS ON FIRE
The pigs are all together in the bunkers
View attachment 3117523
View attachment 3117524
🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
Hapa umeonesha namna dawa ilivyo ingia.Jibu liko wapi pimbi wewe, unasema wameficha we umeona ukiwa wapi au jibirili alikuotesha kitu kimefichwa na Israel halafu Kobazi wa vingunguti kakiona hallucinations hizi😁
Hiyo imetolewa Hindu News. Huitaki?Rt na al jazeera wameripoti au source yako al mujahedeen? 🤣
Ajabu ni kua bunker wakae wao akikaa ayotallah kajificha ajabu sana. Au mmerogwa wenzetu.Unajua maana ya bunkers au shule imepita kushoto😁 kwahiyo ukiona mtu yupo kwenye bunker unavyoelewa ameshindwa vita? Yani unashare vilnk vingi ambavyo havimake sense 😁
Basi sijakuelewa hindu news ni kituo cha kueleweka cha televisheni au mnaokota tu tuhabari mjifurahishe? 🤣Hiyo imetolewa Hindu News. Huitaki?
Kwahiyo hutaki?Kelele kama kelele nyingine sioni cha maana hapo hebu fuatilia yule kamanda wa quds aliekuwepo beirut yuko wapi mpaka sasa
Hiyo soon ina happen lini?Hizbullah wako kwenye stage ya kutapatapa soon mtaona matokeo ya operation northern Arrow kule Lebanon
Dawa ipi? Hii ya hoja za chekechea na kupost vilink na picha ndiyo unaita hoja hebu post za Gaza na Beirut tuone panavyopendeza Mr photographer😁Hapa umeonesha namna dawa ilivyo ingia.
Sasa mzee unataka mimi nianze kujua maana ya maneno? Wakiteseka inatosha. 🤣 🤣 🤣 🤣Unajua maana ya bunkers au shule imepita kushoto😁 kwahiyo ukiona mtu yupo kwenye bunker unavyoelewa ameshindwa vita? Yani unashare vilnk vingi ambavyo havimake sense 😁
Wao wapo vitani huyo ayatollah yuko vitani na nani kama Siyo uoga? Nani kushambulia Iran? Israel ipo vitani tangu 1948Ajabu ni kua bunker wakae wao akikaa ayotallah kajificha ajabu sana. Au mmerogwa wenzetu.
Mimi sijui waulize walioko kwenye na bunker sahizi wanaogopa niniDawa ipi? Hii ya hoja za chekechea na kupost vilink na picha ndiyo unaita hoja hebu post za Gaza na Beirut tuone panavyopendeza Mr photographer😁
Nani kakwambia? Fuatilia habari za kimataifa ujue kinachoendelea israel achana na udakuPost za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date, ukienda Israel Leo maisha yanaendelea kama kawaida huku Kobazi wakiendelea kuteketea Gaza na Lebanon, endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓