'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

1728285162243.png


⚡️⚡️⚡️The Walla website writes about the situation at Zif Hospital in Safed:

The hospital has received 110 wounded, among them soldiers injured by clashes, rocket fire and drones⚡️⚡️⚡️
 
Hahahaha huoni jibu au umechanganyikiwa nimekujibu kivitendo namna nilivyo jua.
Jibu liko wapi pimbi wewe, unasema wameficha we umeona ukiwa wapi au jibirili alikuotesha kitu kimefichwa na Israel halafu Kobazi wa vingunguti kakiona hallucinations hizi😁
 
Kwani hatujui tabia yenu ya kutokuwa independent thinking badala yake hadi mlishwe matango pori kanisani ndiyo mje mharishe humu?

Nimehudhuria makanisani kwa malengo fulani nikashuhudia mahubiri ya uongo wa wazi na makondoo yanashangilia na kupiga makofi hadi yanagaragara.
Toa hoja kama mtu mwenye akili kutaja kanisa hakusaidii kushinda hoja sana sana unaonekana mpuuzi tu, au yaambie majini yakusaidie kujibu u-make sense kidogo
 
Post za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date, ukienda Israel Leo maisha yanaendelea kama kawaida huku Kobazi wakiendelea kuteketea Gaza na Lebanon, endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓
Nani kakwambia? Fuatilia habari za kimataifa ujue kinachoendelea israel achana na udaku
 
Back
Top Bottom