'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Even Iran needs to wake up and start creating real damage. Their enemies have not giving any second thought since this conflict began, there’s no point holding back. It is blowing up despite efforts to avoid all out war and it seems like Bibi is using their patience against them.
 
Nani kakwambia? Fuatilia habari za kimataifa ujue kinachoendelea israel achana na udaku
Habari za kimataifa kutoka wapi? We unadhani Kila habari Ina make sense juzi tu hapa Kobazi wenzio walishare taarifa hizo hizo kuwa Netanyahu kafa, mara kukimbia Israel Yani inshort mnaokoteza chochote mnachoona mitandaoni ili kujipa moyo
 
Raha sana kuona adui wa Ukristo anateseka 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇

🚨🚨🚨One person was killed and nine others were injured in an armed attack at a bus station in the city of Beersheba in Israel🚨🚨🚨


Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
Kwani nani alisema Israel inataka kukalia hayo maeneo Hilo Siyo lengo lao Israel walikuwa wanaikalia Gaza Kwa muda mrefu wameondoka 2006 tu hapo, huyu Urusi unayemsemea ni huyu anasumbuliwa na Ukraine Kwa miaka 2 au mwingine?
 
Kwahiyo hiyo post inaonyesha wanapigika😁😁😁 shule naipenda shule ayeee😁🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…