Manny de Bwoy
Senior Member
- Aug 1, 2017
- 124
- 125
Usipende kukimbia shule kichwa kimejaa madufu na majini ndiyo maana uelewa unakuwa hafifuSasa mzee unataka mimi nianze kujua maana ya maneno? Wakiteseka inatosha. 🤣 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kukimbia shule kichwa kimejaa madufu na majini ndiyo maana uelewa unakuwa hafifuSasa mzee unataka mimi nianze kujua maana ya maneno? Wakiteseka inatosha. 🤣 🤣 🤣 🤣
Mimi sijui ila wapo kwenye ma bunker ndicho ninacho kifahamuWao wapo vitani huyo ayatollah yuko vitani na nani kama Siyo uoga? Nani kushambulia Iran? Israel ipo vitani tangu 1948
Sawa nimesikia ushauri wako. Upo na lingine? 🤣 🤣 🤣 🤣Usipende kukimbia shule kichwa kimejaa madufu na majini ndiyo maana uelewa unakuwa hafifu
Habari za kimataifa kutoka wapi? We unadhani Kila habari Ina make sense juzi tu hapa Kobazi wenzio walishare taarifa hizo hizo kuwa Netanyahu kafa, mara kukimbia Israel Yani inshort mnaokoteza chochote mnachoona mitandaoni ili kujipa moyoNani kakwambia? Fuatilia habari za kimataifa ujue kinachoendelea israel achana na udaku
Hebu waulize hao hindu news kamanda yuko wapi 🤣Kwahiyo hutaki?
Jingine nitajadili na wenye ubongo wewe pumzisha ndonga usiforce 1GB iingie kwenye 128k memory card utaburstSawa nimesikia ushauri wako. Upo na lingine? 🤣 🤣 🤣 🤣
Kazi hiyo fanya wewe. Au huwezi? 🤣 🤣 🤣 🤣Hebu waulize hao hindu news kamanda yuko wapi 🤣
Mbona unakimbilia kwenye "Mimi sijui", unaandikaje vitu usivyovijua, are you ok UpstairsMimi sijui ila wapo kwenye ma bunker ndicho ninacho kifahamu
GB ni kitugani mdogo wangu. 🤣🤣🤣🤣Jingine nitajadili na wenye ubongo wewe pumzisha ndonga usiforce 1GB iingie kwenye 128k memory card utaburst
Uliza majini yatakuambiaGB ni kitugani mdogo wangu. 🤣🤣🤣🤣
Nitauliza. Upo na lingine 🤣🤣🤣🤣Uliza majini yatakuambia
Sikimbilii kua sijui ila unashangaza kama hujui kua irani inaviziwa na Israel hapo ndio unaonesha wewe ni mjinga.Mbona unakimbilia kwenye "Mimi sijui", unaandikaje vitu usivyovijua, are you ok Upstairs
Kwani nani alisema Israel inataka kukalia hayo maeneo Hilo Siyo lengo lao Israel walikuwa wanaikalia Gaza Kwa muda mrefu wameondoka 2006 tu hapo, huyu Urusi unayemsemea ni huyu anasumbuliwa na Ukraine Kwa miaka 2 au mwingine?Watafute suluhu tu. Israel imedondosha mabomu na kupeleka jeshi Gaza lakini unasoma vyombo vya habari kuwa Hamas wamerusha rocket kuelekea Israel.
Russia ingekuwa inasumbuana na Hezbollah au Hamas ingeshayakalia maeneo yote hayo yote ndani ya muda mfupi sana.
Inaviziwa wapi ona poyoyo hili... Israel haivizii Iran wanataka kulipiza kisasi na ndiyo maana wanaishi Kwa hofu, wao ndiyo wameanzisha mchezoSikimbilii kua sijui ila unashangaza kama hujui kua irani inaviziwa na Israel hapo ndio unaonesha wewe ni mjinga.
Kwahiyo hiyo post inaonyesha wanapigika😁😁😁 shule naipenda shule ayeee😁🚶ADUI WA UKRITSTO WALIO MUUA YESU WETU WANAPIGIKA
View attachment 3117531
🚨🚨🚨One person was killed and nine others were injured in an armed attack at a bus station in the city of Beersheba in Israel🚨🚨🚨
Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺
🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥