Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #101
Hawawezi kuandika direct maana wakiandika direct hata wao wenyewe wanaona wanajidanganya😂Unaongea kimafumbo wakati wa Israel wanaopigana hawapo hata hapa jukwaani, Unaogopa kutekwa au ndio uoga wetu umefika level ya kimataifa 😅😅
Hiyo hainihusu ninachojua tunaangamiza adui wa Ukristo na Uislam. Una jingine?Kuliko yako ya kutetea magaidi wenzio
Haikuhusu na bado unazungumzia akili za kuku hiziHiyo hainihusu ninachojua tunaangamiza adui wa Ukristo na Uislam. Una jingine?
View: https://x.com/TopGResistance/status/1843136315895984601
Achana na story za vijiweni , missile zili land successfully na israel irone dome ime prove weakness kwa makombora ya iran, israel kwa sasa hawezi kuchokozana na iran au kulipa kisasi hadi ajipange tena maana yupo uchi kwa sasaHabari za kimataifa kutoka wapi? We unadhani Kila habari Ina make sense juzi tu hapa Kobazi wenzio walishare taarifa hizo hizo kuwa Netanyahu kafa, mara kukimbia Israel Yani inshort mnaokoteza chochote mnachoona mitandaoni ili kujipa moyo
Mzee kazi unayo. Hebu tueleze sasa na hii. 🤣🤣🤣🤣👇👇Hawawezi kuandika direct maana wakiandika direct hata wao wenyewe wanaona wanajidanganya😂
Kushare post zilizopostiwa na magaidi wenzio haziwezi kukusaidia kituMzee kazi unayo. Hebu tueleze sasa na hii. 🤣🤣🤣🤣👇👇
View: https://x.com/osSWSso/status/1843017815043068280
Haya pata habari hapo kutoka gazeti la guardian uingereza , israel ni dhaifu kushinda inavyowaaminisha watu ,ni mikwara na kelele nyingiHabari za kimataifa kutoka wapi? We unadhani Kila habari Ina make sense juzi tu hapa Kobazi wenzio walishare taarifa hizo hizo kuwa Netanyahu kafa, mara kukimbia Israel Yani inshort mnaokoteza chochote mnachoona mitandaoni ili kujipa moyo
Kafanye brain check up probably una psychiatric disorderMuizilaeli wa wa Nankumbu upo 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Sasa hivi watu wanajipigia tu. Wameona Iron Dome is a toy
View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1843119960371171440
Hapana ni fasihi tuUnaongea kimafumbo wakati wa Israel wanaopigana hawapo hata hapa jukwaani, Unaogopa kutekwa au ndio uoga wetu umefika level ya kimataifa 😅😅
Sasa gazeti la the guardian ndiyo linalopigana😁😁 tafuta magazeti ya enzi hizo za 6 days, Yom Kippur war uone yaliandikaje kuhusu Israel kabla ya vita, the guardian Kuna waandishi wanaitwa Mohammed na Ali na hayo ni maoni Yao shida shule huwezi kuelewaHaya pata habari hapo kutoka gazeti la guardian uingereza , israel ni dhaifu kushinda inavyowaaminisha watu ,ni mikwara na kelele nyingi
Escalation with Iran could be risky: Israel is more vulnerable than it seems
Intelligence analysis of Tehran’s attack suggests that much-touted Israeli missile defences are not, in fact, impregnablewww.theguardian.com
Tunakula vichwa vya waisilaeliKafanye brain check up probably una psychiatric disorder
Sawa psychiatric patient😂
Tunaendelea kutakata. Waislaeli wanapukutika mmoja mmoja 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Sasa gazeti la the guardian ndiyo linalopigana😁😁 tafuta magazeti ya enzi hizo za 6 days, Yom Kippur war uone yaliandikaje kuhusu Israel kabla ya vita, the guardian Kuna waandishi wanaitwa Mohammed na Ali na hayo ni maoni Yao shida shule huwezi kuelewa
Tuonyeshe na Yale mambwa ya Gaza maana picha zao na video zipo kwenye internetTunaendelea kutakata. Waislaeli wanapukutika mmoja mmoja 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1843170643153387579
Onyesha zile mbwa unarudia picha na video za Nini kilaza wewe
Basi nakuteuwa kuwa kiongozi wa hesbullah au hutak? 🤣Kazi hiyo fanya wewe. Au huwezi? 🤣 🤣 🤣 🤣