'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Sasa gazeti la the guardian ndiyo linalopigana😁😁 tafuta magazeti ya enzi hizo za 6 days, Yom Kippur war uone yaliandikaje kabla ya vita
ina maana pia hujui kama uingereza ndio aliyowapa ardhi israel na hujui kama anawajibika kuilinda yeye pamoja na washirika wake ikiwemo marekani hata hili pia hujui?
Hujui kama uingereza anatoa silaha na funds kila mwaka kwa israel?
Sasa vitu vidogo kama hivyo hujui halafu unakuja hapa unabishana na muandishi wa habari za kiuchunguzi wa gazeti linaloheshimika uingereza hivi upo sawa kichwani?
Hata hiyo six day war hujui ilikuwaje ndio maana unaitolea kama reference ,ungejua kilichotokea usimgeiongelea hapa maana haikuonyesha ubabe wa israel ,nenda kasome ili uelimike
Unajua kama israel alipigwa na egypt peke yake ?
Kuna vitu vingo huvijui jitahidi kuelimika kwanza kabla hujaanza kumkosoa muandishi wa guardian kwa ajili ya kukosa uelewa
 
Unajua kama israel alipigwa na egyptbpeke yake ?

Hilo bumunda la Uyole Magharibi
 
Tumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
 
NAdhani kwa vile magaid hujificha kwenye makazi ya raia ,ingekua tofauti sana vita ingekua ni IDS VS LEBANEESE ARMY, ukitaka kuamin hilo utagundua makamanda wote wakigaidi waliouawa walikua kwenye makazi ya watu
Kishindo kipo tofautisha kambi za jeshi na majengo ya raia
 
Tumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
Tunawala kichwa mmoja mmoja. Mpaka wataisha tu

View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1842910572112650346
 
Tumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
Naona unabwabwaja bila ya kuleta hoja ya msingi au lugha haipandi? Mleta post na muandishi wa guardian amechambu kwamba israel iron dome ni dhaifu na iran ameweza kupiga ndani ya israel na kuharibu sehemu zake zikiwemo za jeshi, sasa hapo unachobisha ni nini hasa maana hueleweki
Nyie ndio mmeharibiwa na movie za waisrael hollywood kiasi kwamba mmekuwa vipofu na viziwi kwa chochote kuhusu israel kisa mlishakaririshwa ujinga wa taifa teule
Maana unachobisha hata hakieleweki
 
NAdhani kwa vile magaid hujificha kwenye makazi ya raia ,ingekua tofauti sana vita ingekua ni IDS VS LEBANEESE ARMY, ukitaka kuamin hilo utagundua makamanda wote wakigaidi waliouawa walikua kwenye makazi ya watu
Hawa hawaelewi shule kwao imepita kushoto
 
Back
Top Bottom