'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Ona kilaza huyu Al Jazeera ni chombo huru😁😁 Al Jazeera ni chombo Cha kigaidi na ndiyo maana imezuiwa Saudi Arabia, Misri, UAE, Morocco, China, Iraq na nchi nyingine kibao.. hata Waarabu wenzao hawawataki halafu unaita chombo huru? hivi kati ya Wakristo na wafuga majini nani Wana akili ndogo katafute dini iliyo na illiterates wengi ni ipi
wewe huna elimu ndio maana vitu vingi upo mweupe na huvijui
halafu swala la elimu ni kitu very personal ndio maana ukihitimu cheti kinaandikwa jina lako siyo la kundi au dini yako
Vile vile kama unavyosema kuwa eti wakristo wamesoma ,kama kusoma kwenyewe kunawafanya washindwe kujitambua ni aibu, huwezi kuwa mnakanyagishwa sijui mafuta mara sijui mjazane kwa koboko ya wachawi halafu mnasema mpo sawa kichwani, kwa hivyo vyeti vya kukariri huku akili za kufikiria hamna ni kazi bure
 
1728291206513.png

⚡️🔥⚡️Al-Qassam Brigades:
We targeted Tel Aviv in depth, launching M90 missiles there⚡️🔥⚡️

Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
wewe huna elimu ndio maana vitu vingi upo mweupe na huvijui
halafu swala la elimu ni kitu very personal ndio maana ukihitimu cheti kinaandikwa jina lako siyo la kundi au dini yako
Vile vile kama unavyosema kuwa eti wakristo wamesoma ,kama kusoma kwenyewe kunawafanya washindwe kujitambua ni aibu, huwezi kuwa mnakanyagishwa sijui mafuta mara sijui mjazane kwa koboko ya wachawi halafu mnasema mpo sawa kichwani, kwa hivyo vyeti vya kukariri huku akili za kufikiria hamna ni kazi bure
Anayekariri ni nani kati ya Wakristo na nyie unakuta katoto ka miaka 6 kamekariri kiarabu hakajui hata maana yake 😂😁 Koboko ya wachawi ndiyo Nini hata kuandika ni changamoto, kwahiyo Kwa akili yako hafifu wakristo wanatumia mafuta na wakristo Wote wanasali Kwa "KOBOKO YA WACHAWI", Hoja za kutetea magaidi zimeisha Sasa unahamia kwenye ishu nyingine zisizo na kichwa Wala miguu, Nincompoop 😁 Punguza porojo huna hoja kalale labda akili itacharge kidogo comment ndefu imejaa upuuzi😂 uote kuhusu bikra 72
 
Akili finyu hizi Sasa kanisani kunahusiana Nini na vita ya Hizbollah na Israel, Kobazi mkiishiwa hoja mnaandika chochote kama wapuuzi vile
Sipo kushabikia upande wowote wa vita lakini nimeshtuka kuona post hii ikiuliza kanisani kunahusiana nini na vita hivyo lakini wakati huo huo akashindwa kuuliza akili yake kwamba kobazi inahusiana nini na vita hivyo. Nna wasiwasi na akili huru za watanzania wenzangu. Tusipende saaana kushabikia mambo tusoyajua kwa kuegemea misingi ya Udini.
 
Anayekariri ni nani kati ya Wakristo na nyie unakuta katoto ka miaka 6 kamekariri kiarabu hakajui hata maana yake 😂😁 Koboko ya wachawi ndiyo Nini hata kuandika ni changamoto, kwahiyo Kwa akili yako hafifu wakristo wanatumia mafuta na wakristo Wote wanasali Kwa "KOBOKO YA WACHAWI", Hoja za kutetea magaidi zimeisha Sasa unahamia kwenye ishu nyingine zisizo na kichwa Wala miguu, Nincompoop 😁 Punguza porojo huna hoja kalale labda akili itacharge kidogo comment ndefu imejaa upuuzi😂 uote kuhusu bikra 72
Unaandika maneno mengi sana.
 
Back
Top Bottom