Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #181
Wananchi wamemugawana juu juu muisilaeli
View: https://x.com/TopGResistance/status/1843154559151341670
View: https://x.com/TopGResistance/status/1843154559151341670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawatandika mpaka muwe waumini wa Bwana wa MajeshiWewe nimeshakuignore nimeona ni kilaza la pili A na schizophrenic, endelea kuposti screenshot zako na picha ngoja nipambane na ng'ombe mwenzio angalau yeye anajitutumua🚮🐷
Sawa mtumishi wa alla aliyemuokoa NasrallahTunawatandika mpaka muwe waumini wa Bwana wa Majeshi
We nae mpuuzi Nini kwani Kobazi ni dini au nyumba ya ibada?Sipo kushabikia upande wowote wa vita lakini nimeshtuka kuona post hii ikiuliza kanisani kunahusiana nini na vita hivyo lakini wakati huo huo akashindwa kuuliza akili yake kwamba kobazi inahusiana nini na vita hivyo. Nna wasiwasi na akili huru za watanzania wenzangu. Tusipende saaana kushabikia mambo tusoyajua kwa kuegemea misingi ya Udini.
Allah Kamla kichwa 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇Sawa mtumishi wa alla aliyemuokoa Nasrallah
Elimu kazi yake ni kukupa uelewa na inamsaidi binaadamu kuyamudu mazingira yakeAnayekariri ni nani kati ya Wakristo na nyie unakuta katoto ka miaka 6 kamekariri kiarabu hakajui hata maana yake 😂😁 Koboko ya wachawi ndiyo Nini hata kuandika ni changamoto, kwahiyo Kwa akili yako hafifu wakristo wanatumia mafuta na wakristo Wote wanasali Kwa "KOBOKO YA WACHAWI", Hoja za kutetea magaidi zimeisha Sasa unahamia kwenye ishu nyingine zisizo na kichwa Wala miguu, Nincompoop 😁 Punguza porojo huna hoja kalale labda akili itacharge kidogo comment ndefu imejaa upuuzi😂 uote kuhusu bikra 72
Moja ya sifa ya kuwa mjinga na mpuuzi ni kudhani Kila ukiandika utumbo ni habari za kichunguzi na Kila mtu lazima akiunge mkono, dunderhead...😁 Hata taahira aliyeko mirembe hajijui kuwa ni mgonjwa unaweza kuwa mmoja waoElimu kazi yake ni kukupa uelewa na inamsaidi binaadamu kuyamudu mazingira yake
Sasa wewe elimu inakusaidia nini kama hadi leo upo mitandaoni unajidhalilisha kwa kubishana na muandishi wa habari za kiuchunguzi
Kwahiyo upo kwenu ileje unashauri muandishi wa habari wa gazeti la guardian uingereza tumpeleke mirembe kisa kaandika vitu ambavyo huvipendi ,aise wewe ni wa kuonewa hurumaMoja ya sifa ya kuwa mjinga na mpuuzi ni kudhani Kila ukiandika utumbo ni habari za kichunguzi... Hata taahira aliyeko mirembe hajijui kuwa ni mgonjwa unaweza kuwa mmoja wao
Kuna sehemu nimesema hivyo au akili zako za kidunderhead ndiyo zilivyoelewa😁😁 soma kitu uelewe Siyo kukurupuka tu Yale ni maoni ya mwandishi Kila mtu ana maoni yake maoni Siyo msimamo wa Kila mtu hata Al Jazeera walitoa maoni kuwasifia Hamas kuwa Sasa wanaenda kuishinda Israel walipovamia Oct 7 mwaka mmoja Sasa tunaona kilichotokea, tangu January wamerusha makombora 4 wakati mwaka jana walirusha 3000, engage your brain plsKwahiyo upo kwenu ileje unashauri muandishi wa habari wa gazeti la guardian uingereza tumpeleke mirembe kisa kaandika vitu ambavyo huvipendi ,aise wewe ni wa kuonewa huruma
Mtu yuko Nanjilinji anakula ming'oko anajifanya mwanaharakatiHayanaga akili haya Yani mtu anaona hata nchi za kiarabu zimeilist Hamas kama kikundi Cha kigaidi yeye yupo nanjilinji huko anawasifia? Hivi hawajiulizi watu kibao wanaokufa Gaza na Lebanon na hamna nchi ya kiarabu inawasaidia😁😁😁
We zwazwa unabwatuka nini?Mbona unakimbilia kwenye "Mimi sijui", unaandikaje vitu usivyovijua, are you ok Upstairs
Ona huyu kalio alivyo hana akili.Post za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date, ukienda Israel Leo maisha yanaendelea kama kawaida huku Kobazi wakiendelea kuteketea Gaza na Lebanon, endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓
Kutokusaidiwa hakuhusiani na Hamas kuwa magaidi.Hayanaga akili haya Yani mtu anaona hata nchi za kiarabu zimeilist Hamas kama kikundi Cha kigaidi yeye yupo nanjilinji huko anawasifia? Hivi hawajiulizi watu kibao wanaokufa Gaza na Lebanon na hamna nchi ya kiarabu inawasaidia😁😁😁
Kumbe waliiga huku 🤣Tunawatandika mpaka muwe waumini wa Bwana wa Majeshi