Hizi picha kipindi cha Gaza zilirushwa hizi hizi na hivi hivi😂😂😂😂😂😂😂.Kama unaongelea Lebanon ya kimbiji ni kweli hawajafika ila Lebanon yenyewe Hali ndio kama hii.
Na sasa hivi mnarusha tena aiseeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi picha kipindi cha Gaza zilirushwa hizi hizi na hivi hivi😂😂😂😂😂😂😂.Kama unaongelea Lebanon ya kimbiji ni kweli hawajafika ila Lebanon yenyewe Hali ndio kama hii.
Kwani unapowaficha au wanaopigana na Israel kwenye jamii ya watu unategemea nini?. Alafu Ile October 7 hamas waliuwa askari tu wa Israel au waliuwa Raia?. Wale 1217 waliouwawa walikua askali au raia?. Toa unafiki wa kiarabu hapa jukwaaniUnafananishaje mashambulizi aina mbili tofauti!?
Hassan Nasrallah alikua targeted yeye kama yeye.
Hao watoto wanauliwa Israel anapofanya collective punishment.
Juzi Hizbollah wamevamia mipaka ya Kiryat Shmona na kuua askari wa IDF ila cha ajabu Israel akaenda kulipua Beirut.
Sasa jiulize kwanini aache Hizbollah mpakani wanashambulia yeye alipue Beirut!?
Nikweli hata October 7 pia walilenga wanajeshiUtofauti wanamgambo wanalenga kambi za jeshi na miundombinu ya jeshi ila Israel analenga raia.
Hayo maroketi ya Hamas yamelemaza wanajeshi 70,000 wa Israel.
Mbona unaruka ruka kama maharage ya mbeya!?Kwani unapowaficha au wanaopigana na Israel kwenye jamii ya watu unategemea nini?. Alafu Ile October 7 hamas waliuwa askari tu wa Israel au waliuwa Raia?. Wale 1217 waliouwawa walikua raia?. Toa unafiki wa kiarabu hapa jukwaani
Kule Beirut Israeli inabomoa majumba ya raia na kuua viongozi,huwezi kushinda vita hapo. wenzenu wenyeakili wanapiga miundombinu ya kijeshi, ukiuwa kiongozi Leo kesho anachaguliwa mwengine, ndio maana mwaka mzima huu taifa LA Mungu linahangaika na wanamgambo.Hizi boom zinazoingia Israel hazina kishindo cha maangamizi kama zinazotua Beirut?
Ukizungumzia Oktoba 7 usisahau kuanzia Agosti 23.Nikweli hata October 7 pia walilenga wanajeshi
Ila wewe bonge la mtu mpumbavuKwahiyo hiyo post inaonyesha wanapigika😁😁😁 shule naipenda shule ayeee😁🚶
Mimi nakuliza October 7 Hamas waliuwa wanajeshi? Au raia wasio na hatia?Ukizungumzia Oktoba 7 usisahau kuanzia Agosti 23.
Roketi ziliua askari na raia.Mimi nakuliza October 7 Hamas waliuwa wanajeshi? Au raia wasio na hatia?
Ukivizia Kinachofuata si kufanya tukio, unapo fanya tukio ndio kulipiza kisasi.Wewe nae sijui mpuuzi wa wapi... Kuvizia na kulipiza kisasi vinafanana? Umeishia la ngapi mbona kilaza hivyo?
Basi kama ziliuwa raia wasio na hatia hakuna namna na raia wa Palestine nao wafe tuRoketi ziliua askari na raia.
Kwa hiyo umekiri kuwa hata hamas wanauwa raia pia?. Siruki nimekukumbusha ujue wewe ni mnafiki kiasi gani. Usipige kelele za kuuwa raia wa hamasi nao wanauwa raia. Kama hamasi hawawafanyi raia Kama kinga kwanini waliokuwa wanawazuia na kuwatisha wasiondoke Israel alipotoa tahadhari? Kama wanajijua wanaume wavae sare za jeshi wapigane siyo kwenda kukaa katikati ya raiaMbona unaruka ruka kama maharage ya mbeya!?
Nani kakwambia Hamas wanajificha nyuma ya raia!?
Je kuhusu Hibzollah kuvamia kwa miguu mpakani na Israel na Israel kulipua Beirut unalionaje!?
Unazungumzia Oktoba 7 peke yake!?
Mbona huzungumzii kuanzia August 23!?
Hujui unachokiongeaKambi za hizbullah zinafahamika kama kambi za Israel?
Roho inakuuma kwelikweliUnatumia muda mwingi kuchukua screenshot twitter unadhani zitakusaidia kujibu hoja hili zezeta la wapi😂
Mimi sio mnafiki ila naonesha naongea na mtu asiyeelewa ama asiyesoma kwa uelewa.Kwa hiyo umekiri kuwa hata hamas wanauwa raia pia?. Siruki nimekukumbusha ujue wewe ni mnafiki kiasi gani. Usipige kelele za kuuwa raia wa hamasi nao wanauwa raia. Kama hamasi hawawafanyi raia Kama kinga kwanini waliokuwa wanawazuia na kuwatisha wasiondoke Israel alipotoa tahadhari? Kama wanajijua wanaume wavae sare za jeshi wapigane siyo kwenda kukaa katikati ya raia
Unajua kwanini Oktoba 7 imetokea!?Basi kama ziliuwa raia wasio na hatia hakuna namna na raia wa Palestine nao wafe tu
Hata mataahira Huwa hawajijui kama ni mataahira ongea vitu vya kuelewekaIla wewe bonge la mtu mpumbavu
Nitaacha Kula nitaanza kukula weweUkivizia Kinachofuata si kufanya tukio, unapo fanya tukio ndio kulipiza kisasi.
ACHA KULA NGURUWE MINYOO INAKUATHILI
Siyo AUGUST 23 .MNAFIKI WEWE HII VITA UMEZALIWA UMEIKUTA . Wewe ndiyo uelewi ndiyo maana nakwambia wewe ni MNAFIKI.Mimi sio mnafiki ila naonesha naongea na mtu asiyeelewa ama asiyesoma kwa uelewa.
Unajua kwanini nimekuambia uanzie Agosti 23!?
Pia tizama silaha anazotumia Hamas na Israel zinafanana!?
Embu soma kwa uelewa aisee usiwe unakurupuka kusoma.
Ukisema tuanzie agosti 23 bado unakosea, huu mzozo ni wa miaka mingi tangu Israel ilipojitangazia uhuru shida ndipo ilipoanza, mataifa jirani walivamia Israel, hiyo agosti unayosemea wewe ni muendelezo tuUnajua kwanini Oktoba 7 imetokea!?
Unajua Agosti 23 Israel alifanya nini!??
Au mimi ni mjinga kukwambia anzia Agosti 23!?