'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Unafananishaje mashambulizi aina mbili tofauti!?
Hassan Nasrallah alikua targeted yeye kama yeye.
Hao watoto wanauliwa Israel anapofanya collective punishment.
Juzi Hizbollah wamevamia mipaka ya Kiryat Shmona na kuua askari wa IDF ila cha ajabu Israel akaenda kulipua Beirut.
Sasa jiulize kwanini aache Hizbollah mpakani wanashambulia yeye alipue Beirut!?
Kwani unapowaficha au wanaopigana na Israel kwenye jamii ya watu unategemea nini?. Alafu Ile October 7 hamas waliuwa askari tu wa Israel au waliuwa Raia?. Wale 1217 waliouwawa walikua askali au raia?. Toa unafiki wa kiarabu hapa jukwaani
 
Kwani unapowaficha au wanaopigana na Israel kwenye jamii ya watu unategemea nini?. Alafu Ile October 7 hamas waliuwa askari tu wa Israel au waliuwa Raia?. Wale 1217 waliouwawa walikua raia?. Toa unafiki wa kiarabu hapa jukwaani
Mbona unaruka ruka kama maharage ya mbeya!?
Nani kakwambia Hamas wanajificha nyuma ya raia!?
Je kuhusu Hibzollah kuvamia kwa miguu mpakani na Israel na Israel kulipua Beirut unalionaje!?
Unazungumzia Oktoba 7 peke yake!?
Mbona huzungumzii kuanzia August 23!?
 
Hizi boom zinazoingia Israel hazina kishindo cha maangamizi kama zinazotua Beirut?
Kule Beirut Israeli inabomoa majumba ya raia na kuua viongozi,huwezi kushinda vita hapo. wenzenu wenyeakili wanapiga miundombinu ya kijeshi, ukiuwa kiongozi Leo kesho anachaguliwa mwengine, ndio maana mwaka mzima huu taifa LA Mungu linahangaika na wanamgambo.
 
Mbona unaruka ruka kama maharage ya mbeya!?
Nani kakwambia Hamas wanajificha nyuma ya raia!?
Je kuhusu Hibzollah kuvamia kwa miguu mpakani na Israel na Israel kulipua Beirut unalionaje!?
Unazungumzia Oktoba 7 peke yake!?
Mbona huzungumzii kuanzia August 23!?
Kwa hiyo umekiri kuwa hata hamas wanauwa raia pia?. Siruki nimekukumbusha ujue wewe ni mnafiki kiasi gani. Usipige kelele za kuuwa raia wa hamasi nao wanauwa raia. Kama hamasi hawawafanyi raia Kama kinga kwanini waliokuwa wanawazuia na kuwatisha wasiondoke Israel alipotoa tahadhari? Kama wanajijua wanaume wavae sare za jeshi wapigane siyo kwenda kukaa katikati ya raia
 
Mimi sio mnafiki ila naonesha naongea na mtu asiyeelewa ama asiyesoma kwa uelewa.
Unajua kwanini nimekuambia uanzie Agosti 23!?
Pia tizama silaha anazotumia Hamas na Israel zinafanana!?
Embu soma kwa uelewa aisee usiwe unakurupuka kusoma.
 
Siyo AUGUST 23 .MNAFIKI WEWE HII VITA UMEZALIWA UMEIKUTA . Wewe ndiyo uelewi ndiyo maana nakwambia wewe ni MNAFIKI.
 
Unajua kwanini Oktoba 7 imetokea!?
Unajua Agosti 23 Israel alifanya nini!??
Au mimi ni mjinga kukwambia anzia Agosti 23!?
Ukisema tuanzie agosti 23 bado unakosea, huu mzozo ni wa miaka mingi tangu Israel ilipojitangazia uhuru shida ndipo ilipoanza, mataifa jirani walivamia Israel, hiyo agosti unayosemea wewe ni muendelezo tu
 
Back
Top Bottom