'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

MOTO UNAWAKA Mtabana mwisho mtaachia

1728288001320.png

⚡️🔥⚡️Zionist media :
Oct. 7 Israeli military system collapsed within minutes⚡️🔥⚡️

Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
Maybe they want them to hear what they want to hear

But this are alway funny post to read they show how ignorant Tanzanians both Christian and muslim are
 
Habari za kimataifa kutoka wapi? We unadhani Kila habari Ina make sense juzi tu hapa Kobazi wenzio walishare taarifa hizo hizo kuwa Netanyahu kafa, mara kukimbia Israel Yani inshort mnaokoteza chochote mnachoona mitandaoni ili kujipa moyo
Achana na story za vijiweni , missile zili land successfully na israel irone dome ime prove weakness kwa makombora ya iran, israel kwa sasa hawezi kuchokozana na iran au kulipa kisasi hadi ajipange tena maana yupo uchi kwa sasa
 
Habari za kimataifa kutoka wapi? We unadhani Kila habari Ina make sense juzi tu hapa Kobazi wenzio walishare taarifa hizo hizo kuwa Netanyahu kafa, mara kukimbia Israel Yani inshort mnaokoteza chochote mnachoona mitandaoni ili kujipa moyo
Haya pata habari hapo kutoka gazeti la guardian uingereza , israel ni dhaifu kushinda inavyowaaminisha watu ,ni mikwara na kelele nyingi

Haya pata habari hapo kutoka gazeti la guardian uingereza , israel ni dhaifu kushinda inavyowaaminisha watu ,ni mikwara na kelele nyingi

Sasa gazeti la the guardian ndiyo linalopigana😁😁 tafuta magazeti ya enzi hizo za 6 days, Yom Kippur war uone yaliandikaje kuhusu Israel kabla ya vita, the guardian Kuna waandishi wanaitwa Mohammed na Ali na hayo ni maoni Yao shida shule huwezi kuelewa
 
Back
Top Bottom