Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #121
Mnagongwa na watu wanaotumia visu na mapanga 🤣🤣🤣🤣🤣Wanachukua vifaruTuonyeshe na Yale mambwa ya Gaza maana picha zao na video zipo kwenye internet
Unatumia muda mwingi kuchukua screenshot twitter unadhani zitakusaidia kujibu hoja hili zezeta la wapi😂
Mimi ni kiongozi tayariBasi nakuteuwa kuwa kiongozi wa hesbullah au hutak? 🤣
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1842981875234828301?t=dI7aYq6zTKb5kqaDQOSgog&s=19
ina maana pia hujui kama uingereza ndio aliyowapa ardhi israel na hujui kama anawajibika kuilinda yeye pamoja na washirika wake ikiwemo marekani hata hili pia hujui?Sasa gazeti la the guardian ndiyo linalopigana😁😁 tafuta magazeti ya enzi hizo za 6 days, Yom Kippur war uone yaliandikaje kabla ya vita
Muda ninao.Unatumia muda mwingi kuchukua screenshot twitter unadhani zitakusaidia kujibu hoja hili zezeta la wapi😂
Anajua kifuatacho ndiyo maana kakataa😁😁Basi nakuteuwa kuwa kiongozi wa hesbullah au hutak? 🤣
View: https://x.com/DrEliDavid/status/1842981875234828301?t=dI7aYq6zTKb5kqaDQOSgog&s=19
Hilo bumunda la Uyole Magharibiina maana pia hujui kama uingereza ndio aliyowapa ardhi israel na hujui kama anawajibika kuilinda yeye pamoja na washirika wake ikiwemo marekani hata hili pia hujui?
Hujui kama uingereza anatoa silaha na funds kila mwaka kwa israel?
Sasa vitu vidogo kama hivyo hujui halafu unakuja hapa unabishana na muandishi wa habari za kiuchunguzi wa gazeti linaloheshimika uingereza hivi upo sawa kichwani?
Hata hiyo six day war hujui ilikuwaje ndio maana unaitolea kama reference ,ungejua kilichotokea usimgeiongelea hapa maana haikuonyesha ubabe wa israel ,nenda kasome ili uelimike
Unajua kama israel alipigwa na egyptbpeke yake ?
Kuna vitu vingo huvijui jitahidi kuelimika kwanza kabla hujaanza kumkosoa muandishi wa guardian kwa ajili ya kukosa uelewa
We endelea kuotaHizbullah wako kwenye stage ya kutapatapa soon mtaona matokeo ya operation northern Arrow kule Lebanon
Tunakula kichwa kimoja kimoja. Mpaka waishe. Hatupigi keleleAnajua kifuatacho ndiyo maana kakataa😁😁
Tumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapoina maana pia hujui kama uingereza ndio aliyowapa ardhi israel na hujui kama anawajibika kuilinda yeye pamoja na washirika wake ikiwemo marekani hata hili pia hujui?
Hujui kama uingereza anatoa silaha na funds kila mwaka kwa israel?
Sasa vitu vidogo kama hivyo hujui halafu unakuja hapa unabishana na muandishi wa habari za kiuchunguzi wa gazeti linaloheshimika uingereza hivi upo sawa kichwani?
Hata hiyo six day war hujui ilikuwaje ndio maana unaitolea kama reference ,ungejua kilichotokea usimgeiongelea hapa maana haikuonyesha ubabe wa israel ,nenda kasome ili uelimike
Unajua kama israel alipigwa na egyptbpeke yake ?
Kuna vitu vingo huvijui jitahidi kuelimika kwanza kabla hujaanza kumkosoa muandishi wa guardian kwa ajili ya kukosa uelewa
Kishindo kipo tofautisha kambi za jeshi na majengo ya raia
Tunawala kichwa mmoja mmoja. Mpaka wataisha tuTumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
Na kweli Magaidi Huwa Wana muda mwingi si ajabu ukishare hizo post unaingia peponi😂🚶Muda ninao.
Sawa bibieTunakula kichwa kimoja kimoja. Mpaka waishe. Hatupigi kelele
View: https://x.com/Nadira_ali12/status/1842891866599006430
Tunapiga Mbwa na Mwenye MbwaNa kweli Magaidi Huwa Wana muda mwingi si ajabu ukishare hizo post unaingia peponi😂🚶
Naona unabwabwaja bila ya kuleta hoja ya msingi au lugha haipandi? Mleta post na muandishi wa guardian amechambu kwamba israel iron dome ni dhaifu na iran ameweza kupiga ndani ya israel na kuharibu sehemu zake zikiwemo za jeshi, sasa hapo unachobisha ni nini hasa maana huelewekiTumia akili wewe mpuuzi Israel ilikuwepo kabla hata ya hiyo Uingereza halaf Mimi sijazungumzia Uingereza nimezungumzia gazeti la the Guardian, Uingereza inahusikaje hapa😂, hata Al Jazeera wanasupport magaidi na bado Kuna waandishi wao ni Wamarekani tumia akili, halafu kuhusu 6 days war soma nilichoandika vizuri acha kukurupuka kama jinga nimekuambia tafuta magazeti ya kipindi hicho yalisemaje kabla ya vita kuhusu Israel, hujui kusoma au ndiyo akili imeishia hapo
Hawa hawaelewi shule kwao imepita kushotoNAdhani kwa vile magaid hujificha kwenye makazi ya raia ,ingekua tofauti sana vita ingekua ni IDS VS LEBANEESE ARMY, ukitaka kuamin hilo utagundua makamanda wote wakigaidi waliouawa walikua kwenye makazi ya watu
Uwe unagonga hata like sasa. Maana ninakufumbua machoSawa bibie
Mkuu kwani Makundi ya Kigaidi wana Kambi za Jeshi?Hasira zake ataenda kushambulia makazi ya raia, mauaji meeengi!