baba sumayyah
Member
- Sep 10, 2024
- 12
- 10
Huenda nikawa mpuuzi lakini nilipata bahati kulelewa na mama alienifunza kutokuwatukana watu kwa vyovyote vile.We nae mpuuzi Nini kwani Kobazi ni dini au nyumba ya ibada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda nikawa mpuuzi lakini nilipata bahati kulelewa na mama alienifunza kutokuwatukana watu kwa vyovyote vile.We nae mpuuzi Nini kwani Kobazi ni dini au nyumba ya ibada?
Sasa unaandika porojo unataka ujibiwe vp tunajibu kulingana na ulivyokuja acha kutia hurumaHuenda nikawa mpuuzi lakini nilipata bahati kulelewa na mama alienifunza kutokuwatukana watu kwa vyovyote vile.
Ya nini kutia huruma kwa mtu ambae mpaka leo hii hajajua wala kufahamu majibu ya watu kutoka jamii ilostaarabika.?Sasa unaandika porojo unataka ujibiwe vp tunajibu kulingana na ulivyokuja acha kutia huruma
Wewe ndiyo unabadilisha jamii😂😂😂 sawa motivational speakerYa nini kutia huruma kwa mtu ambae mpaka leo hii hajajua wala kufahamu majibu ya watu kutoka jamii ilostaarabika.?
Hasa pale ambapo mnakuwa tofauti katika namna muwazavyo.
Safari ni ndefu mnoo kuibadili jamii hii.
Naweza vipi kumbadili yule ambae thamani ya tumbo la mama yake kumbeba kwa miezi 9 haikuweza kumpa ari ya kubadilika na kuwaheshimu watu.????Wewe ndiyo unabadilisha jamii😂😂😂 sawa motivational speaker
Acha porojo na pumba kama huna la kuandika kapimzishe ndonga dunderheadNaweza vipi kumbadili yule ambae thamani ya tumbo la mama yake kumbeba kwa miezi 9 haikuweza kumpa ari ya kubadilika na kuwaheshimu watu.????
Huenda porojo ikawa kwako wewe kutokana na kuchanganyikiwa kwako na ugumu wa maisha ulio nao, psychologically unaonekana hauko sawa. Maandiko yangu na yako ni tofauti kabisa.Acha porojo na pumba kama huna la kuandika kapimzishe ndonga dunderhead
Ningelikuwa rais basi hakika vijana wote wasiokuwa na ujasiriamali wa kupatia kula yao ningewafunga jela ili huko ikawe boarding yao ya kujifunza maisha ikiwemo ufundi na mengine ya kuwasaidia katika maisha yao. Maana kwa comments hizi ni alama wazi psychic zenu haziko sawa kwa vile mlivyo na hasira.Unaandika maneno mengi sana.
Sawa bibieHuenda porojo ikawa kwako wewe kutokana na kuchanganyikiwa kwako na ugumu wa maisha ulio nao, psychologically unaonekana hauko sawa. Maandiko yangu na yako ni tofauti kabisa.
Nb: ugumu wa maisha si kukosa tonge la kutia kinywani mwako bali hata kukosa akili,busara,utu,hekima na ustarabu katika mazungumzo ni Ugumu wa maisha. Pole sana.
Hwana haja na raia wa Israel, wanapiga kambi za jeshi na vituo vya mafunzo vya wanajeshi. Wayahudi wanaua raia wasio na hatia! Hio ndio tofautiKishindo kipo tofautisha kambi za jeshi na majengo ya raia
Ukiwasikiliza CNN na BBC unaweza kudhani hakuna madhara Israel. Kisa nini? Wayahudi Wanafanya censorship ya kufa mtu ya habari zinazotoka. Hawataki habari mbaya kuhusu wao zisambae! Majuzi wameshindwa kufanya censorship kwa sbb raia walipiga picha kwa simu na kuzisambaza kila pahala. Iron dome zimekuwa useless kabisa!Post za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date, ukienda Israel Leo maisha yanaendelea kama kawaida huku Kobazi wakiendelea kuteketea Gaza na Lebanon, endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓
Acha porojo wewe Israel inatoa taarifa za vifo Kila mara nenda page za IDF uone updates Kila mwanajeshi akifa Gaza wanaandika Jana tu wamepost mwanajeshi wao amekufa Gaza, Siku ya kwanza kufanya ground invasion Lebanon walitoa taarifa wanajeshi wao 7 walikufa, hiyo censorship unalozungumzia ni ipi? Shida mnataka kupata taarifa za maafa kutoka Israel ila hamzipati mnaforce tu upuuzi, mara Netanyahu kakimbia mara Waziri wa Ulinzi wa Israel kauliwa🤣🤣... Data za askari wa IDF wanaokufa zipo online, je wewe unaweza kuniambia magaidi wangapi wa Hezbollah na Hamas wamekufa? Hamna popote wanapotoa taarifa, wanakufa kimya kimya wanafukiwa kama panya tu, Israel wakishambulia unaskia wameua wanawake na watoto, kwahiyo Gaza yote ni wanawake na watoto hao Hamas nao ni wanawake na watoto😁😁, ndiyo maana nyie wafuasi wao mnaamini wako vizuri wanashinda kwasababu hamsikii chochote kutoka kwao🤣, Sijui nani mwenye censorship hapo kati ya Israel na magaidiUkiwasikiliza CNN na BBC unaweza kudhani hakuna madhara Israel. Kisa nini? Wayahudi Wanafanya censorship ya kufa mtu ya habari zinazotoka. Hawataki habari mbaya kuhusu wao zisambae! Majuzi wameshindwa kufanya censorship kwa sbb raia walipiga picha kwa simu na kuzisambaza kila pahala. Iron dome zimekuwa useless kabisa!
Endeleeni kushupaza shingoAcha porojo wewe Israel inatoa taarifa za vifo Kila mara nenda page za IDF uone updates Kila mwanajeshi akifa Gaza wanaandika Jana tu wamepost mwanajeshi wao amekufa Gaza, Siku ya kwanza kufanya ground invasion Lebanon walitoa taarifa wanajeshi wao 7 walikufa, hiyo censorship unalozungumzia ni ipi? Shida mnataka kupata taarifa za maafa kutoka Israel ila hamzipati mnaforce tu upuuzi, mara Netanyahu kakimbia mara Waziri wa Ulinzi wa Israel kauliwa🤣🤣... Data za askari wa IDF wanaokufa zipo online, je wewe unaweza kuniambia magaidi wangapi wa Hezbollah na Hamas wamekufa? Hamna popote wanapotoa taarifa, wanakufa kimya kimya wanafukiwa kama panya tu, Israel wakishambulia unaskia wameua wanawake na watoto, kwahiyo Gaza yote ni wanawake na watoto hao Hamas nao ni wanawake na watoto😁😁, ndiyo maana nyie wafuasi wao mnaamini wako vizuri wanashinda kwasababu hamsikii chochote kutoka kwao🤣, Sijui nani mwenye censorship hapo kati ya Israel na magaidi
Endelea kuamini magaidiEndeleeni kushupaza shingo
Gaidi namba 1 ni USA akifuatiwa na Myahudi. Iraq walikuta silaha za maangamizi? Libya walikuta silaha zozote mbaya?Endelea kuamini magaidi
Uwezo wako wa kiakili ni hafifu? Kwanza jua maana ya neno ugaidi (terrorism).Gaidi namba 1 ni USA akifuatiwa na Myahudi. Iraq walikuta silaha za maangamizi? Libya walikuta silaha zozote mbaya?
Ukiwa nazo wewe akili inatosha man.Uwezo wako wa kiakili ni hafifu? Kwanza jua maana ya neno ugaidi (terrorism).
Pili, jua historia iliyopo kati ya USA na Libya na Iraq Utajua kwanini walivamiwa.
NB: Ukiona mtu anabadili mada jua Hana hoja anajaribu kukwepa challenge Kwa kuanzisha mada zisizokuwepo hatuzungumzii Libya Wala Iraq hapa
Na mimi Principle yangu sibishani na "unlettered Person"😎Ukiwa nazo wewe akili inatosha man.