Isee hapo mashariki ya kati huo mkono unaopigwa hapo ni balaa...Tatizo watu hawajui israel inavyo lindwa na high tech.
Kombola la hamasi likirushwa mambo mawili yanatokea.
1. Alarm ambayo inapigwa kuwa taarifu wananchi kwamba wana sekunde 30 ya kujificha. Israel vituo vyote vya mabasi ni shelter , na kila nyumba in chumba kimoja ambacho ni shelter. Sehemu zote public zina maeneo ambayo ni shelter hivo hata kama bom litafika madhara ni madogo sana.
2. IRON DOME: Pamoja na alarm kutoa taarifa , huu mtambo wenyewe una fanya analysis, kama kombola linaelekea kwenye makazi ya watu, basi unatuma missile kudestroy kombola toka gaza lakini kama kombola la hamasi linatua kwenye empty space basi iron dome inatulia tuu.
Hivyo unavo sikia hamasi wametuma makombola 1000 unaweza kuta labda moja tuu ndio bahati mbaya limetua kwenye makazi ya watu bila kuzuiwa.
Hivyo fujo za hamasi ni kuwatesa tuu watu wa gaza kwa sababu hakuna shelter wala fefense system yeyote .
Hawa jamaa ni magenious sana Mkuu..ila nahisi kuna wasaidizi wao wapo nyuma ya pazia.