Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

Isee hapo mashariki ya kati huo mkono unaopigwa hapo ni balaa...

Hawa jamaa ni magenious sana Mkuu..ila nahisi kuna wasaidizi wao wapo nyuma ya pazia.
 
Hizo system za Alam nchi nyingi zinazo hata Iran juzi kati kuna mji ililia na mtaani kukawa hakuna mtu kutoka nje kwa sababu ya kuhofia kombora kutoka nje ya nchi kuingia nchini humo but baadae wakaja kusema system za alam zimehakiwa
 
Rockets continue to be launched from #Gaza into #Israel in the last hour, several barrages have targeted Ashkelon, Ashdod and multiple other communities along the Gaza border.
 
Israel watume nyuklia wawapoteze tu hao watu wanasumbua dunia kila eneo ni vikundi vya ugaidi tu bora kuwapoteza na kizazi chao tu
 
Walishawahi kujaribu walipigwa wakachakaa hawana hamu tena au wewe husomi historia?
Kwanini na wao hawasomi historia ya makosa yao.Mbona Hamas wanapigwa kila siku wakiibuka na wao wanarusha ngumi.Huu ndio uanaume.Anayekuonea usipoweza kupigana naye basi angalau mtukane matusi ya nguoni.
 
Tunapo kwenda every palestanian household backyard is a potential kassam rocket launch site. Kazi kweli kweli.
 
Isee hapo mashariki ya kati huo mkono unaopigwa hapo ni balaa...

Hawa jamaa ni magenious sana Mkuu..ila nahisi kuna wasaidizi wao wapo nyuma ya pazia.
Siku ile ya mwanzo nilimuona jamaa kavaa mavazi meupe na mnene alikuwa anazichapa kwa mkono na hakamatiki.Itakuwa aliwalaza wanajeshi kadhaa wa Israel pamoja na bunduki zao na huenda hasira zilipanda kuanzia pale. Mwenyezi Mungu ameapa hawapendi madhalimu na hawapi ushindi uliotimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…