Irone Dome - Uchawi wa mu-Israeli

Naona wiki 2 zinakatika Hamas-Gaza hawajarusha roketi hata moja ndani ya Israel kitu Gani kimewasibu hawa makamandoo hatujawazoea hivi kabisa, naombeni mnijuze wadau Niko vijijini huku mtandao unasumbua.
 
Kwahiyo ulitaka usemaje maamuma? Waache yapite hayo makombora? KKwanini HAMAS nao wasitengeneze makombora ya bei kubwa?
HAMAS walikuwa na tunnels ambazo wamezijenga tangu miaka ya 2000 kwa msaada wa Iran mahsusi kwa ugaidi, ni underground na zilikuwa na masawaliano unique, entry na exit zote walizijua wao tu. Waulize leo kilichowakuta.

Waarabu, njia pekee ya kushinda vita ni kujilipua, haya mengine waachie wenyewe.

Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Hamas wanatumia makombora waliyopewa na wafadhili wao, Iran
 
Naona wiki 2 zinakatika Hamas-Gaza hawajarusha roketi hata moja ndani ya Israel kitu Gani kimewasibu hawa makamandoo hatujawazoea hivi kabisa, naombeni mnijuze wadau Niko vijijini huku mtandao unasumbua.
kaka F-16, F-35 zinadodosha vitu vizito bila kuzuizi chochote cha anga, kwa kweli HAMAS wanatia huruma.
 
Mfumo wa ulizi wa Israel ni 55% kwa sofiscated weapons, kwa local made weapons uko 88% bado hapo hauwezi kutoa matokeo 100%, isreal kupewa nafasi ya 18 duniani kwa jeshi bora is over rated.
 
kaka F-16, F-35 zinadodosha vitu vizito bila kuzuizi chochote cha anga, kwa kweli HAMAS wanatia huruma.
Acha ushabiki hapa tunaangalia cost effect, sio distruction, mimi hapa staki utumie hisia kuleta point zako.
 
Acha ushabiki hapa tunaangalia cost effect, sio distruction, mimi hapa staki utumie hisia kuleta point zako.
Ila bado wana mifumo mingine ya ulinzi inayounda 'network of air defenses' kama Arrow-3, David Sling n.k

Nadhani wakiingia total war na nchi/kundi lenye precious guided missiles' hizo air defenses zikiwa activated zote zitapunguza mapungufu ya Iron dome.

T14 Armata
 
Allah ndo nani sasa!?

Qur'an2:255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. 255
 
Ni upumbavu iron done ina tumia kobora 1 worthy $ 10,000 kuzuia roketi ya moja ya hamas ya $ 500, hapo kweli kuna cha kusifia, gharama za kuendesha hiyo air defence system ni kubwa kuliko vajeti nzima ya Hamas.
Maisha ya mwanadamu ni bora kuliko pesa mkuu.
 
Hapana mi nakukatalia ,huyo allah wenu mbona lugha za mataifa mengine hajui hadi amewalazimisha mjifunze tu lugha yake ya kiarabu tu ,basi huyo sio Mungu aliyeumba ulimwengu na viumbe hai
 
Hapana mi nakukatalia ,huyo allah wenu mbona lugha za mataifa mengine hajui hadi amewalazimisha mjifunze tu lugha yake ya kiarabu tu ,basi huyo sio Mungu aliyeumba ulimwengu na viumbe hai
Unashangaa kufunzwa lugha moja ili muelewane?

Hushangai kuwa wewe leo unaongea Kiswahili? Ndiyo lugha mama kwako?
 
Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??

Kwa hivyo unaita makombora ya Iran ni haba?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…