T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Gharama ya kupata malaria ni bure, gharama ya kuitibu haizidi 10,000 na gharama ya kutoitibu inaweza kuwa kifo. Sasa amua moja, usitibu malaria uliyopata bure ili uokoe elfu kumi na ufe au uingie gharama ya elfu kumi uitibu.Wayahudi wamesambaa Duniani, na kizuri zaidi huwa hawasahau kwao hata kama kizazi na kizazi kitapita. Ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa mambo.
Akili za kigaidi haziwezi elewa hii