Iron dome ni gharama,ila tujue mambo mawili
1.Mosi,gharama zote unazozijua za huko duniani kuanzia mafuta hadi zana za kijeshi ni artificial.Mafuta gharama yake ni ndogo sana ila wazalishaji wanapanga hizo gharama kwa aidha kuongeza au kupunguza uzalishaji.Bei haiakisi chochote,ni watu wamekaa na kupanga.Umaskini wa Africa ni bandit,unasababishwa na wqzalishaji mafuta
Halikadhalika,zana za kivita.Wao ndo wana tec yote na materials.Gharama unazotajiwa ni artificial.Kukufanya usiaford sababu hauwezi kutengeneza au kukufanya utoe hela nyingi.
2.Israel ana mtambo wa kutumgua makombora unatumia lesser beams.Gharama yake ya kutungua kombora moja,ni sawa na bei ya kikombe cha kahawa
Ila anaficha sana matumizi yale,anadai bado haujaanza kutumika.Ila kuna usiri mwingi sana.Nyie mnapojifanya.mnachambua gharama za iron dome.Yeye alishapata mwarobaini zamani.