T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Gharama ya kupata malaria ni bure, gharama ya kuitibu haizidi 10,000 na gharama ya kutoitibu inaweza kuwa kifo. Sasa amua moja, usitibu malaria uliyopata bure ili uokoe elfu kumi na ufe au uingie gharama ya elfu kumi uitibu.Wayahudi wamesambaa Duniani, na kizuri zaidi huwa hawasahau kwao hata kama kizazi na kizazi kitapita. Ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa mambo.
Raia gani ?Mpaka zikawalipua raia wao.
Hezbollah hawana uwezo wa kurusha makombora 150,000. Hamas hawa hapa wamerusha sijui elfu nane hadi mahospitali yao yamepigwa sembuse Hezbollah wakitaka kurusha waliyonayo yote. Hata robo hawatoweza, kwani unadhani Hamas wameishiwa, wako wapi sasaUna hoja mkuu, mfano wapambane na Hezbollah (total war) yenye makombora 150,000 tena mengi ni 'precious guided missiles', hizo Iron dome lazima zizidiwe tu na miji yao mingi itaharibiwa.
Kiufupi hamna bado mfumo wa ulinzi ulio 100% 'perfect'.
T14 Armata
Mkuu iyo rocket ya $500 inapatikana wapi namimi nikajinunulie rocket zangu kama tatu tu zinantosha 😂😂Ni upumbavu iron done ina tumia kobora 1 worthy $ 10,000 kuzuia roketi ya moja ya hamas ya $ 500, hapo kweli kuna cha kusifia, gharama za kuendesha hiyo air defence system ni kubwa kuliko vajeti nzima ya Hamas.
Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Hapana!! Mtu mweusi sio maskini, Bali ni mjinga!!Na uchawi wenyewe ni umasikini...
Ndo maana mtu mweusi ni masikini
Mtu mweusi sio mjinga, ni mpumbavuHapana!! Mtu mweusi sio maskini, Bali ni mjinga!!
Yule Allah mla nguruwe na Malaya anayebikiri maiti?Allah.
Kwahyo Kwa akili yko unajua Hamas ndiyo wanaounda mabomu ya kumrushia mwisrael🤔 Hamas ni kundi linalofadhiriwa na mataifa mengi tu vivuli(yaliyojificha yakiwemo mataifa ya kiarabu) wakiongozwa na nchi Yao mama Palestine,, wao Hamas wanachojua ni kutumia tu,.Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Sasa tunakaribia kuelewana!! nazani tumuite mubinafisi!Mtu mweusi sio mjinga, ni mpumbavu
Wabongo bwana😂ebu tupe envidence Kwa ufafanuzi juu ya utengenezaji wa hizo drone deffenceve hapaNi upumbavu iron done ina tumia kobora 1 worthy $ 10,000 kuzuia roketi ya moja ya hamas ya $ 500, hapo kweli kuna cha kusifia, gharama za kuendesha hiyo air defence system ni kubwa kuliko vajeti nzima ya Hamas.
unadhani hezbollah ni hamasHezbollah hawana uwezo wa kurusha makombora 150,000. Hamas hawa hapa wamerusha sijui elfu nane hadi mahospitali yao yamepigwa sembuse Hezbollah wakitaka kurusha waliyonayo yote. Hata robo hawatoweza, kwani unadhani Hamas wameishiwa, wako wapi sasa
Dada yangu kipenzi tuachane na Israel palestine hukoAllah.
Hivi mnaichukuliaje Hamas, Hamas ingekuwa ni weak unavyofikiria isingeweza kufanya mashambulizi ya kutisha kama oct 7th, tatizo media zinawadanganya. Yaani budget ya Hamas ni dola 10000?Ni upumbavu iron done ina tumia kobora 1 worthy $ 10,000 kuzuia roketi ya moja ya hamas ya $ 500, hapo kweli kuna cha kusifia, gharama za kuendesha hiyo air defence system ni kubwa kuliko vajeti nzima ya Hamas.
Sio hivo hamas hawana access to modern weapons ukilinganisha na israel, Isreal inatumia gharama kubwa kudhibiti hamas isio fikisha hata 1% ya defence bajeti ya isreal.Hivi mnaichukuliaje Hamas, Hamas ingekuwa ni weak unavyofikiria isingeweza kufanya mashambulizi ya kutisha kama oct 7th, tatizo media zinawadanganya. Yaani budget ya Hamas ni dola 10000?
Sisi waafrica tumegundua nini? Kama hiyo technology ni dhaifu tuoneshe hiyo yenye Hali ya juuAta sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Kwa Tanzania, maeneo maarufu kwa uchawi ndiyo miongoni mwa maeneo yanayoongoza kuwa chini kimaendeleo: Simiyu, Kigoma, Geita, n.k.Na uchawi wenyewe ni umasikini...
Ndo maana mtu mweusi ni masikini