Hawawezi sababu hawana hayo makombora ? Au ....?Hezbollah hawana uwezo wa kurusha makombora 150,000. Hamas hawa hapa wamerusha sijui elfu nane hadi mahospitali yao yamepigwa sembuse Hezbollah wakitaka kurusha waliyonayo yote. Hata robo hawatoweza, kwani unadhani Hamas wameishiwa, wako wapi sasa
Achana na hako kakikundi, basi ilinganishe mifumo ya Ulinzi ya Israeli na ya nchi kamili, Tanzania.Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??
Makombora hata Hamas hawajaishiwa ila nafasi ya kuyarusha kwa wingi ndio hawana. Hezbollah hawawezi fyatua maroketi yote Israel ikiwa inawasubiri wamalize. Wakifyatua mortars na ATGM tu wanatafutwa sembuse missilesHawawezi sababu hawana hayo makombora ? Au ....?
Hezbollah hana uwezo dhidi ya IDF. Kumbe leo Hamas mmeitoa kwenye mlinganyo, maana ile tarehe 7 mlikuwa mnawaona mabingwa kwa sasa wanaishi kama panyaunadhani hezbollah ni hamas
Wenzio wanathamini uhai wa.watu wao kuliko kitu chochote unlike wale.wanaotumia raia zao kama kingaNi upumbavu iron done ina tumia kobora 1 worthy $ 10,000 kuzuia roketi ya moja ya hamas ya $ 500, hapo kweli kuna cha kusifia, gharama za kuendesha hiyo air defence system ni kubwa kuliko vajeti nzima ya Hamas.
Ila mmeshachapika hadi mnaomba poooo= Dome, siyo "done".
Hata unachokisoma hukielewi halafu unakuja kuongelea mifumo ya ulinzi?
Jiulize hiyo mifumo ilienda livu 7/10?
Sidhani kama ulinielewa sijasema kwamba uhai sio muhimu, ila gharama kubwa inaotumika wakati hata gharama ndogo ingeweza kutumika kulinda huo uhai,Wenzio wanathamini uhai wa.watu wao kuliko kitu chochote unlike wale.wanaotumia raia zao kama kinga
UsimsingizieAllah.
Simple and very clear! tatizo ndugu zetu hawa wanafumba macho halafu wanasema hakuna mwangaza!Unashangaa kufunzwa lugha moja ili muelewane?
Hushangai kuwa wewe leo unaongea Kiswahili? Ndiyo lugha mama kwako?
Watu gani wasio na uwezo na mambo zaidi ya waafrika ?Wayahudi wamesambaa Duniani, na kizuri zaidi huwa hawasahau kwao hata kama kizazi na kizazi kitapita. Ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa mambo.
Kazi ya pesa ni nini mkuu?kulinda uhai na gharama ya pesa ipi bora?pesa inarudi na ndio kazi ya pesaNi upumbavu iron done ina tumia kobora 1 worthy $ 10,000 kuzuia roketi ya moja ya hamas ya $ 500, hapo kweli kuna cha kusifia, gharama za kuendesha hiyo air defence system ni kubwa kuliko vajeti nzima ya Hamas.
Hawawezi sababu hawana muda wa kufyatua makombora yote. Kadri watakavyoyatuma makombora ndivyo watakavyoangamizwa.Hawawezi sababu hawana hayo makombora ? Au ....?
Acha uongo, makombora yale ni tactical sio kma anayorusha Israel. Maroketi yametengenezwa kwa sukari na mbolea yanaachaje majivu? Elimu ni muhimu hata kwako maana unachambua vitu way above your abilities.Kama yangetua yote basi leo Israel haingekuwepo kwenye uso wa Dunia hii, yangekuwa ni majivu.
Kwani gaza sio lsrael?Hakuna wa kuifuta Israel kwenye uso wa dunia, baada ya vita Gaza itakaliwa na Israel milele
Hamasi sio wa kuwazalau hata kidogo! Ni kundi ambalo liko vzr kuanzia mafunzo, siraha mpaka kiuchumi. Unawezaje kusema hawako vizuri financial resources wakati wameweza kuchimba mahandaki kuzunguka Gaza yote? Hivi unadhani Hilo ni jambo dogo? Serikali Yako ya Tanzania tu mpaka Leo hawajaweza kuchimbia mabomba ya maji walau kwa dar peke yake, lkn jamaa wamejenga nyumba chini ya ardhi kuzunguka Gaza yote. Then unasema hawako vizuri kiuchumi? We wa wapi wewe!!!!Ata sioni cha kusifia hapo,kama Makombora yameundwa tu na kikundi cha watu ambao ujuzi wao ,nguvu kazi na financial resources ni haba yanawasumbua hivyo.
Je makombora ambayo yatakuwa yemeundwa na Nchi itakuwaje??