Is Atheism Satanism?

Is Atheism Satanism?

Wewe unajua hadhi ya Mungu tokea lini? Acha kusema vitu ambavyo huvijui.

Kama madai yako ni kweli, kwanini unashangaa Mungu kuwa na Neno ambalo ni Mwana?
Wewe unaujua uzushi wa Paulo zaidi kuliko unavyomjua Mungu na Mjumbe wake.

Mungu hana mwana, mke au babu.

Kama unaamini Mungu ana mwana ni dhahiri hujui Mungu ni nani.
 
Wewe unaujua uzushi wa Paulo zaidi kuliko unavyomjua Mungu na Mjumbe wake.

Mungu hana mwana, mke au babu.

Kama unaamini Mungu ana mwana ni dhahiri hujui Mungu ni nani.
Naona teyari umesha gundua ulongo wako. Siku nyingine kuwa na adabu weye.

Kama Allah ni akbar, kwanini anashindwa na Maryam aliye kuwa na Mwana bila ya Mume? Haya huu Msiba ni wako mpaka Makka.
 
Wewe unaujua uzushi wa Paulo zaidi kuliko unavyomjua Mungu na Mjumbe wake.

Mungu hana mwana, mke au babu.

Kama unaamini Mungu ana mwana ni dhahiri hujui Mungu ni nani.
Hivi Paulo aliwafanya nini mpaka mnakosa usingizi? Paul is not mentioned in the Qur'an.
 
Mtumishi kwema?
Anakosa usingizi.. umtafutie ile kitu Paulo anatumia ili apate kupunguza maumivu. Si unaelewa kuwa hampati amani ukweli unapowekwa wazi?

Mtumishi wa Paulo yuko hoi bin taabani. Umpatie damu ya bwana ili mapepo yatulie.
 
Paulo amekufanya msukule?

Baada ya kung'amua hilo umechukua hatua gani?
Huwezi kuacha kukusanya sadaka?

Paulo amekuapatia deal la kujipatia maisha?

Deuteronomy 6:4 Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is one.

Deuteronomy 12:32 See that you do all I command you; do not add to it or take away from it.
Nimekuuliza, wapi Allah kasema kuwa Paulo ni Mtume bandia?

WAISLAM LETENI AYA KUTOKA KORAN AU BIBLIA INAYOSEMA KUWA PAULO HAKUWA MTUME WA MUNGU.
Leo nimeamua kukata ngebe za Wafilisti kuhusu Mtume Paulo ambaye anawanyima usingizi kila siku Waislam na Allah wao. Paulo alikuwa Mtume wa Mungu, hebu tusome Biblia:

Wagalatia 1:1 Paulo, mtume, si mtume wa wanadamu aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu

Biblia ipo wazi kabisaa, kuwa Paulo alitumwa na Mungu, wakati Muham-mad alitumwa na Jibril ambaye si Mungu. Koran inakiri kuwa Muham-mad alikutana na Jibril na hakuwai kukutana na au ongea na Mungu. Lakini tunasoma katika Biblia kuwa, Paulo alipewa utume na Mungu mwenyewee.

Warumi 1:1 Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, ALIYEITWA KUWA MTUME na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu
Ningependa kuanzia leo, ieleweke kuwa Waislam wanafuata kanyaboya. Muham-mad hakuwai ongea na Mungu. Muham-mad hakutumwa na Mungu. Muham-mad ni Mtume Bandia asie na hili wale lile.

Mitume wote ambao tunawasoma katika Biblia, waliongea na Mungu moja kwa moja na bila ya kutumia msaada wa Malaika. Lakini Muham-mad anatumia msaada wa Jibril, kiumbe kinacho daiwa kuwa ni Malaika aliye tumwa na Allah. Kwanini Muham-mad ndie mtume pekee anayetumia c/o katika mawasiliano yake na mungu wa Islam? Je, Allah ni Mungu? Kama ni Mungu, mbona anatumia usaidizi katika kuongea na Muham-mad wa Islam? Mbona Mungu wa Biblia hakutumia usaidizi kuongea na Mitume wake?

Mkishindwa kutuletea aya kutoka Koran au Biblia inayo sema Paulo si Mtume wa Mungu, basi kushindwa kwenu ndio ushaidi tosha kuwa Muham-mad alikuwa Mtume Bandia na Paulo ni Mtume wa Mungu.

Waislam, tuleteeni aya ambayo inasema kuwa Paulo hakuwa Mtume.
Swali limeenda shule hilo
 
Anakosa usingizi.. umtafutie ile kitu Paulo anatumia ili apate kupunguza maumivu. Si unaelewa kuwa hampati amani ukweli unapowekwa wazi?

Mtumishi wa Paulo yuko hoi bin taabani. Umpatie damu ya bwana ili mapepo yatulie.
Paulo, anawafanya mambo mbaya sana. Kwasiku unamtaja mara nyingi zaidi ya Allah wako na Mtume wake wa pekee. Hiyo ni sifa swafiii kwa Mtume akbar na mwenye watu wengi zaidi ya Allah.
 
Hili jamaa leta mada kama shog..a au pung,a hv? Yani mada zake ni udini udin tu" wewe upo hata ugaidi unaweza kujitumbukiza humo! Hivi up u halali wa bokho haramu. Islamic state, na al shababu? Jibu ole wako ulete udin udin mamaye mimi mtu anayekua mdini mdini namwitaga shog..a au pung.a au tg
 
Malicious reply.
 
Hakuna kitu hapo.
Ulikuwa umefumba macho wakati unaangalia?
Mkaribishe hizi jamaa Alphaking mahena na Eier msaidiane katika kuingalia kwa pamoja .Mnapenda kufanyakazi katika timu ya utatu ninyi. Inawezekana Ishmael hukuzishirikisha nafsi zingine ndio sababu ulishindwa kuona kitu.
 
You can not equate atheism to satanism because they are fundamentally different. Satanism acknowledge existence of god and their sole purpose is to disobey him while on the other hand atheism defies existence of God whatsoever. You get the difference kido?

No difference..coz in the end, all those two...will drink the same cup of GOD'S Wrath.
 
Atheism is a COMMON SENSE

What guide your senses?
What is the basis of this, atheism illusion?
What are your doctrines?

Dont you all fear(atheism) saying there is no God...and with all these evidences that you see around us?
What give you the confidence, saying there is no GOD??????? Do you have the ability to make even one thread of your hear?
Kwa namna ulivyofanywa(kuumbwa) kwa namna ya ajabu na ya kushanga, kila kitu kikapangwa mwilin mwako kwa namna na ustad wa hali ya juu, unapata wapi kiburi cha kusema Hakuna Mungu!!!!!!
Ukapewa na akili ya kufikiria...kweli unaishia kusema, hakuna MUNGU!!!
 
Safi sana Kiongozi umemaliza hawa.
 
Ulikuwa umefumba macho wakati unaangalia?
Mkaribishe hizi jamaa Alphaking mahena na Eier msaidiane katika kuingalia kwa pamoja .Mnapenda kufanyakazi katika timu ya utatu ninyi. Inawezekana Ishmael hukuzishirikisha nafsi zingine ndio sababu ulishindwa kuona kitu.
Hiyo video ni mashudu.
 
Hiyo video ni mashudu.
Usijali, mkuu wa kitengo cha kukufuru.
Hukuwasikia wasela wanazungumza na sanamu?

Ishmael, tusaidie hapo walikuwa wanasema nini? Wewe unazungumza katika ndimi utakuwa umeyasikia wanayosema.
Tafadhali mchungaji tusaidie kwa hili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom