Wewe unaujua uzushi wa Paulo zaidi kuliko unavyomjua Mungu na Mjumbe wake.Wewe unajua hadhi ya Mungu tokea lini? Acha kusema vitu ambavyo huvijui.
Kama madai yako ni kweli, kwanini unashangaa Mungu kuwa na Neno ambalo ni Mwana?
Mungu hana mwana, mke au babu.
Kama unaamini Mungu ana mwana ni dhahiri hujui Mungu ni nani.