Is Covid-19 out of control at our neighbors?

Is Covid-19 out of control at our neighbors?

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
1,629
Reaction score
697
I have not seen a definitive statement that the situation is under control in Tz. Seeing posts of people crying out to be evacuated from the country and taken to India almost validates the fears that the situation is getting out of control. Or is it not?
 
''Ni kweli lakini hayawahusu,wananchi wachape kazi..hata malaria inaua''-Jiwe
 
''Ni kweli lakini hayawahusu,wananchi wachape kazi..hata malaria inaua''-Jiwe
Yanatuhusu 100%. Our borders are porous and Kenya cannot contain it if Tanzania is under stress. Hivi leo uliskia Kenya ina visa viwili kutoka Migori? Kuna uwezekano hivyo chanzo chake sio Kenya
 
Why can't the Indian government organize evacuation flights for them? It's pretty simple they r not hold in hostage!
But that is what they are crying out for. Enda Twitter utapata hata video
 
Geza Ulole,
Good, now show me a clip showing vile hali ni tete kwenu. Here we have freedom of expression bila kukandamizwa. Make no mistake, nobody has claimed that we are doing it the right way here. Uganda and Rwanda have the best management
 
Yanatuhusu 100%. Our borders are porous and Kenya cannot contain it if Tanzania is under stress. Hivi leo uliskia Kenya ina visa viwili kutoka Migori? Kuna uwezekano hivyo chanzo chake sio Kenya
Hayawahusu bana usilazimishe.kama hamuwezi kudhibiti mipaka ya nchi yenu hiyo juu yenu labda useme njaa zenu zitawaponza. Hatujaomba msaada huko kwenuu.
 
India Ina vifo 1000+.
Case za corona 39,000+.
Duh!! Ukiona sehemu mhindi amepachoka, ujue ni balaa....
Screenshot_20200503-044132.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
India Ina vifo 1000+.
Case za corona 39,000+.View attachment 1438173

Sent using Jamii Forums mobile app

India ina idadi ya watu 1,387,297,452
Tanzania ina idadi ya watu 60,000,000

Kwa mahesabu ya haraka inaonyesha idadi yenu nyote ni kamkoa kule kwao. Nahisi wanaomba wapewe fursa ya kuikimbia Tanzania baada ya kuona hali ya mifumo yenu na mnavyochukulia poa hili janga licha ya baadhi ya viongozi wenu kumezwa nalo, kumbuka hata Wamarekani walisha wakimbia, mtu anaona bora akahangaikie kwao ambapo mifumo inafanya kazi.

Japo naona kuna baadhi ya viongozi wenu wanaonekana kufahamu hali ilivyo bila kuficha wala kuremba wanaisema ilivyo, mfano ni huyu mama.

2387172_95488908_225363645414476_878234559330467727_n.jpeg
 
Hivi kenya huko hamfi kwa corona?
India ina idadi ya watu 1,387,297,452
Tanzania ina idadi ya watu 60,000,000

Kwa mahesabu ya haraka inaonyesha idadi yenu nyote ni kamkoa kule kwao.
Nahisi wanaomba wapewe fursa ya kuikimbia Tanzania baada ya kuona hali ya mifumo yenu na mnavyochukulia poa hili janga licha ya baadhi ya viongozi wenu kumezwa nalo, kumbuka hata Wamarekani walisha wakimbia, mtu anaona bora akahangaikie kwao ambapo mifumo inafanya kazi.
Japo naona kuna baadhi ya viongozi wenu wanaonekana kufahamu hali ilivyo bila kuficha wala kuremba wanaisema ilivyo, mfano ni huyu mama ...

2387172_95488908_225363645414476_878234559330467727_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The two cases in migori Are From Kehancha And Nyankore hao walikua wametoka TZ.Huko ni home na vile niliona ni mbali na hii mambo Pombe amechoma kabisa.Hatutaki hao watu kenya period. kuna mmoja alitoka tarime watu walipiga nduru kijiji mzima akakujiwa na gava.
 
Back
Top Bottom