MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Jitahidi kuwa mkweli, kati ya Tanzania na Kenya wapi kuna maambukizi mengi? Sasa hivi mnakimbilia 1000 wakati Tz ni chini ya 600.
Halafu Kenya did not lockdown you just kidded with the practice!! Unamruhusu corona kuzunguka kwa watu mchana wote halafu eti unamzuia usiku!! Nani aliwaambia corona huambukiza usiku tu kwa hiyo mkazuia watu kutembea usiku wakati mchana tayari wameambukizwa!! That is kidding!! Ndiyo maana hakuna manufaa ya hiyo night curfew zaidi ya kujidanganya!! Sasa night curfew inamalizika leo na maambukizi mapya kila siku yapo!!
Rwanda na Uganda ndio wana moral authority ya kuzungumzia lockdown na siyo Kenya!!!
Siku mtakubali kuwa wakweli na kuacha usanii wa mapaipai na muwezeshwe kupima, nahisi mtaongoza Afrika, maana mumejiachia vibaya sana, hamna tahadhari yoyote, bado mnasongamana. Kila Mtanzania anayejaribu kuingia kwa mataifa majirani anagunduliwa kuwa na corona, ni wazi huko mnaogelea kwa kirusi.