Is Covid-19 out of control at our neighbors?

Is Covid-19 out of control at our neighbors?

Ingekua rahisi kihivyo wala haungeskia neno kutoka kwenye taifa lolote, mngeachwa mjifie huko.
Tatizo hamna jinsi ya majirani kujilinda kutoka kwa Watanzania, hatua polisi wa kutosha kuuzunguka huo mpaka wote, sasa hivi Tanzania ndio kitovu cha corona kwa majirani zake EAC na SADC
Hata sisi hatuna askari wa kutosha kuzunguka mpaka. Ndio maana nikasema kila mtu ahangaikie nchi yake, hakuna haja ya kumlazimisha mwenzako afuate unachokitaka. By the way mnaweza mkaajiri vijana wakapata mafunzo mafupi ya ulinzi wa mpaka, si zile hela zimeshaingia?
 
Kama hujui Kiswahili Bora uongee kijaluo utasomeka....ya nn kuteseka?
The two cases in migori Are From Kehancha And Nyankore hao walikua wametoka TZ.Huko ni home na vile niliona ni mbali na hii mambo Pombe amechoma kabisa.Hatutaki hao watu kenya period. kuna mmoja alitoka tarime watu walipiga nduru kijiji mzima akakujiwa na gava.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauwezi kuwapangia wengine wafanye utakavyo. Wee funga kwako, automatically utakuwa umefunga na huku. Kwani mlango ukifungwa kwa ndani, kuna haja tena ya kuhitaji mtu akufungie na kwa nje? [emoji16]
Dogo, tulia heshimu bab kubwa, Tanzania ya Pombe inajigamba kuwa Taifa linalo uwezo sana, ningefurahia Pombe angetangaza mipaka yote imefungwa. Manake wanafiki ni wengi bongo na wataanza Kulaumu majirani kwa maafa yanayo karibia uko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi hatuna askari wa kutosha kuzunguka mpaka. Ndio maana nikasema kila mtu ahangaikie nchi yake, hakuna haja ya kumlazimisha mwenzako afuate unachokitaka. By the way mnaweza mkaajiri vijana wakapata mafunzo mafupi ya ulinzi wa mpaka, si zile hela zimeshaingia?

Sio afuate ninachokitaka, ila achukue tahadhari kama iinavyofanyika duniani kote, sio kuwacha raia wake wanaishi hovyoo bila tahadhari halafu wanakwenda kuambukiza majirani.
 
Sio afuate ninachokitaka, ila achukue tahadhari kama iinavyofanyika duniani kote, sio kuwacha raia wake wanaishi hovyoo bila tahadhari halafu wanakwenda kuambukiza majirani.
Wataendaje kuambukiza majirani wakati hao majirani wamefunga mipaka na inalindwa? Funga ulinde, uone kama ataweza mtu kuvuka mpaka. Ulinzi na usalama wa nchi ni jukumu la nchi husika. Usitegemee Afghanstan ije ilinde mipaka ya Zimbabwe
 
I am sure in your small mind you think you are contributing in the subject matter. You probably think throwing some negative news back does anything to distract our attention. Kenya tested 1500 people yesterday. 21 tested positive and the nation acknowleges it but the sample equally had 25 positive cases that were referred back to your country. Hayo semeni pia ni propaganda
 
Wataendaje kuambukiza majirani wakati hao majirani wamefunga mipaka na inalindwa? Funga ulinde, uone kama ataweza mtu kuvuka mpaka. Ulinzi na usalama wa nchi ni jukumu la nchi husika. Usitegemee Afghanstan ije ilinde mipaka ya Zimbabwe

Mipaka unafunga maeneo rasmi, lakini kule maporini hakuna askari wa kutosha kuzuia huko, pia makabila fulani tunachangia utawaambia vipi ndugu kabisa kabila moja kwamba leo waonane kwa misingi ya mipaka ya wakoloni, uwakute Wamaasai na kuwachorea mpaka na jinsi wanavyokuwaga kimoja.
 
Kwa hiyo mnazika hospitalini?

Send by APOLO 1
Huko TZ ni wagonjwa munapeleka wakatibiwe hospitalini ama ni watu mnapeleka hospitali wakawazike waliokufia huko ndani ya hospitali?
 
I have not seen a definitive statement that the situation is under control in Tz. Seeing posts of people crying out to be evacuated from the country and taken to India almost validates the fears that the situation is getting out of control. Or is it not?
Do you care??
 
Dunia sasa hivi kila taifa lina vifo vinavyotokana na Corona, hata sisi pia, ila hatufichi na kuacha raia wenyewe waanike kwenye mitandao kwa kutupia video nyingi nyingi.
Wapi wanaficha?! Wewe unaziamini hizo video za kutengeneza?! Are you one of them (watengenezaji wa video fake)????....What do you gain by doing that? Are you worried by Tanzania's surge in socio-economic development?..Is Tanzania a threat to your country??
 
Hii wanatishia tu raia zao, ila hakuna wagonjwa waliojaa hospitals, and that was their third announcement, their citizens hawataki kuondoka Tz.
In this pandemic,tanzania is safe place to be
 
Do you care??
If we had a wall at the border i would not. Sadly we do not have and the bulk of our new cases are related to your mismanagement
 
EYHjALnXsAAWfEb
 
I have not seen a definitive statement that the situation is under control in Tz. Seeing posts of people crying out to be evacuated from the country and taken to India almost validates the fears that the situation is getting out of control. Or is it not?
The situation in our country is very calm! Unfortunately people from other countries may not be able to distinguish between disinformation from political opposition and genuine information from the general public! True there are some COVID 19 cases in the country as it is the case (even more worse) in other countries. But the fact is we are far better off!! Economic and life loses are at their minimum!! Life is very normal only that people are social distancing and are putting on masks!! However we are adapting to these new norms and life is at ease!! Completely no panic!!! Hapa kazi tu!!
 
Mipaka unafunga maeneo rasmi, lakini kule maporini hakuna askari wa kutosha kuzuia huko, pia makabila fulani tunachangia utawaambia vipi ndugu kabisa kabila moja kwamba leo waonane kwa misingi ya mipaka ya wakoloni, uwakute Wamaasai na kuwachorea mpaka na jinsi wanavyokuwaga kimoja.
Jitahidi kuwa mkweli, kati ya Tanzania na Kenya wapi kuna maambukizi mengi? Sasa hivi mnakimbilia 1000 wakati Tz ni chini ya 600.
Halafu Kenya did not lockdown you just kidded with the practice!! Unamruhusu corona kuzunguka kwa watu mchana wote halafu eti unamzuia usiku!! Nani aliwaambia corona huambukiza usiku tu kwa hiyo mkazuia watu kutembea usiku wakati mchana tayari wameambukizwa!! That is kidding!! Ndiyo maana hakuna manufaa ya hiyo night curfew zaidi ya kujidanganya!! Sasa night curfew inamalizika leo na maambukizi mapya kila siku yapo!!
Rwanda na Uganda ndio wana moral authority ya kuzungumzia lockdown na siyo Kenya!!!
 
Kenya wamechonga sana kuikandia Tanzania ili kuifitinisha na majirani kisha wapitishie mizigo Mombasa!! It is a mission failed!!!
 
Back
Top Bottom