Is Covid-19 out of control at our neighbors?

Bongo isipochunga itakuja kuwa na janga zaidi ya lile lilitokea italia, maafa tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo watatuingiza kwenye balaa yao maana tuna mpaka mrefu sana nao na kuchangia baadhi ya makabila pande zote mbili.. Htuna jinsi ya kuwakwepa, wakizingua n kuumia kwa ukaidi itatukuta sisi pia.....yaani hawa watu ni mtihani.
 
Aisee nimeenda kwa hio thread yao bana mpaka wantanzania wenzao wanashangaa with their own reasoning, hawa watu ni kibarua bana,nimeona wakona kabila mbili chadema na ccm, the day chadema itapata 50% support hawa wanaeza uwana kama sisi 2007

Though Mpo na hanshake ila mko na serikali inaweza lipuka anytime as Jubilee is breaking up!
 
Dunia sasa hivi kila taifa lina vifo vinavyotokana na Corona, hata sisi pia, ila hatufichi na kuacha raia wenyewe waanike kwenye mitandao kwa kutupia video nyingi nyingi.
Kifo kikitokea, anayeficha na asiyeficha wote sawa. Jambo la msingi ni kuangalia familia yako, haya mambo ya kuipigania nchi as if wewe ndio mwenye uchungu sana, ipo siku utabaki na nchi huku wanafamilia wako wakiwa wamepukutika
 
Yanatuhusu 100%. Our borders are porous and Kenya cannot contain it if Tanzania is under stress. Hivi leo uliskia Kenya ina visa viwili kutoka Migori? Kuna uwezekano hivyo chanzo chake sio Kenya
Kupambana na COVID - 19 inahitaji regional response. Kama mmoja kati yetu akiwa vulnerable na sisi pia itatuathiri asilimia 100
 
Kifo kikitokea, anayeficha na asiyeficha wote sawa. Jambo la msingi ni kuangalia familia yako, haya mambo ya kuipigania nchi as if wewe ndio mwenye uchungu sana, ipo siku utabaki na nchi huku wanafamilia wako wakiwa wamepukutika

Tatizo hiki ni kifo cha kuambukiza, mnawaponza sana majirani zenu, nyie kama mumeamua mfe, basi kufeni huko wenyewe ila hamtulii kwenu, ona mlichokifanya Zambia, mji wao wa mpakani mumewaambukiza sana

2397584_IMG_20200512_195621.jpg
 
Tatizo hiki ni kifo cha kuambukiza, mnawaponza sana majirani zenu, nyie kama mumeamua mfe, basi kufeni huko wenyewe ila hamtulii kwenu, ona mlichokifanya Zambia, mji wao wa mpakani mumewaambukiza sana
Kama waliokutwa na maambukizi ni Wakenya na Wazambia, hapo sasa ni nani ambaye hatulii?
 
Tatizo watatuingiza kwenye balaa yao maana tuna mpaka mrefu sana nao na kuchangia baadhi ya makabila pande zote mbili.. Htuna jinsi ya kuwakwepa, wakizingua n kuumia kwa ukaidi itatukuta sisi pia.....yaani hawa watu ni mtihani.
Hata hong kong, south korea zina mpaka na china lakini maambukizi hayakuzidi. Kenya inafaa kufunga mpaka na tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama waliokutwa na maambukizi ni Wakenya na Wazambia, hapo sasa ni nani ambaye hatulii?

Mpakani ni vigumu kuwa na control ukizingatia mnachangia makabila na baadhi ya majirani, mnawaambukiza, nyie jifieni huko bila kusumbua majirani.
 
Mkuu, kila mtu ahangaike nchini kwake. Ninyi hangaikeni na wagonjwa wenu plus wavuka mipaka, na sisi tuache tuhangaike na wagonjwa wetu. Hakuna haja ya kutoa povu kwa wagonjwa wasiokuhusu
 
Basi mipaka ifungwe kila mtu akae kwao
Hauwezi kuwapangia wengine wafanye utakavyo. Wee funga kwako, automatically utakuwa umefunga na huku. Kwani mlango ukifungwa kwa ndani, kuna haja tena ya kuhitaji mtu akufungie na kwa nje? 😁
 
Mkuu, kila mtu ahangaike nchini kwake. Ninyi hangaikeni na wagonjwa wenu plus wavuka mipaka, na sisi tuache tuhangaike na wagonjwa wetu. Hakuna haja ya kutoa povu kwa wagonjwa wasiokuhusu

Ingekua rahisi kihivyo wala haungeskia neno kutoka kwenye taifa lolote, mngeachwa mjifie huko.
Tatizo hamna jinsi ya majirani kujilinda kutoka kwa Watanzania, hatua polisi wa kutosha kuuzunguka huo mpaka wote, sasa hivi Tanzania ndio kitovu cha corona kwa majirani zake EAC na SADC
 
Back
Top Bottom