Yanatuhusu 100%. Our borders are porous and Kenya cannot contain it if Tanzania is under stress. Hivi leo uliskia Kenya ina visa viwili kutoka Migori? Kuna uwezekano hivyo chanzo chake sio Kenya''Ni kweli lakini hayawahusu,wananchi wachape kazi..hata malaria inaua''-Jiwe
Hayawahusu bana usilazimishe.kama hamuwezi kudhibiti mipaka ya nchi yenu hiyo juu yenu labda useme njaa zenu zitawaponza. Hatujaomba msaada huko kwenuu.Yanatuhusu 100%. Our borders are porous and Kenya cannot contain it if Tanzania is under stress. Hivi leo uliskia Kenya ina visa viwili kutoka Migori? Kuna uwezekano hivyo chanzo chake sio Kenya
Duh!! Ukiona sehemu mhindi amepachoka, ujue ni balaa....
India Ina vifo 1000+.
Case za corona 39,000+.View attachment 1438173
Sent using Jamii Forums mobile app
India ina idadi ya watu 1,387,297,452
Tanzania ina idadi ya watu 60,000,000
Kwa mahesabu ya haraka inaonyesha idadi yenu nyote ni kamkoa kule kwao.
Nahisi wanaomba wapewe fursa ya kuikimbia Tanzania baada ya kuona hali ya mifumo yenu na mnavyochukulia poa hili janga licha ya baadhi ya viongozi wenu kumezwa nalo, kumbuka hata Wamarekani walisha wakimbia, mtu anaona bora akahangaikie kwao ambapo mifumo inafanya kazi.
Japo naona kuna baadhi ya viongozi wenu wanaonekana kufahamu hali ilivyo bila kuficha wala kuremba wanaisema ilivyo, mfano ni huyu mama ...
Dunia sasa hivi kila taifa lina vifo vinavyotokana na Corona, hata sisi pia, ila hatufichi na kuacha raia wenyewe waanike kwenye mitandao kwa kutupia video nyingi nyingi.