Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sante kiongozi........ kumbuka umeniahidi utakuwa a Good BABA just like I am. tafazali keep your promise. OK?ODM nimeyapenda maneno yako hapo juu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sante kiongozi........ kumbuka umeniahidi utakuwa a Good BABA just like I am. tafazali keep your promise. OK?ODM nimeyapenda maneno yako hapo juu!
Pole sana AD,
Naona hii mioyo imebeba mazagazaga mengi sana,
Mshukuru mungu wako kwa kukuwezesha kumalizana na hilo timbwili...
Babu DC!
Hili lisredi limenipitaje?
Kwangu mie:
Ni possible kama kutakuwa na mkakati wa kurudiana......... Yaani lazima yale ma SRM yakumbukwe na yafanyiwe kazi
Ila
Ni impossible kama vigezo na masharti ya yale ma SRM hayatazingatiwa.
Ushauri wangu: Bibiye, sahau yaliyopita. Piga moyo konde rudianeni na mzazi mwenzio. Maisha ya upweke yashakushinda, na moyo wako bado umeacha vipande kwenye moyo wake.Tii kiu yako. Acha penzi lionyeshe njia!
Na hili ndilo neno la ODM.
Teamo!! Please kaka yangu do not put more salt on my wound bana. You know me ehwe mama wewe....!
haya bana
DA inaonekana huyu DC,AD amemkaa sana akilini!
DC,
Nishapoa bana thanks...................
Off topic: Kwanini huwa unanichanganya sana na AD????
DA inaonekana huyu DC,AD amemkaa sana akilini!
Ninakubaliana na wewe kabisa Mkuu.I don't see the need for hostilities and/or animosity if we've both resigned to the fact that we can't be together.
But a civil and cordial relationship doesn't mean hanging out together and doing things together. This just means we don't have to be fussing at each other over pointless stuff.
Just be good role models to your kid(s) and enjoy life.
MJ1 nilichojifunza mimi katika maisha ni kuwa kuachana na mtu does not necessarily mean mmekuwa maadui ,.
1. Nimebakisha hizo za rangi kwa sababu they're my poin tof discussion. Ni kweli namna mlivyoanza uhusiano inaweza kuchangia kama baada ya kutengana muendelee kuwa marafiki, lakini nahisi hutegemea zaidi jinsi mlivyoachana. Inawezekana mlikuwa marafiki wa muda mrefu, inawezekana pia mlikuwa katika katika uhusiano wa miaka mingi, lakini ikiwa wakati wa kuwachana/kutengana mlifanyanya kiadui adui, si rahisi kuendeleza urafiki, ingawaje pia inawezekana. Binadamu tupo wa aina nyingi na wengine wako kama committed kubakia pamoja daima. Nafikiri sote tumewahi kuona mifano ya watu wanaoachana kwa kugombana, kutukanana, kufikishana kwenye vyombo vya sheria... badae hao hao wanarudiana kama hakukutokea chochote. Na nyinyi mliokuwa mnashabikia upande mmoja au mwengine mnabaki na macho ya kichina.MJ1,
Kwanza kabisa, how did you start the relationship before you decided to call it a day? As friends or was love at first sight? Nafikiri kama mlianza kama marafiki wa kawaida tuu (namaanisha urafiki wa muda mrefu), baadae mkaamua kuwa na uhusiano wa kimapenzi, it is possible to kurudi na kubakia kuwa marafiki wa kawaida kama mlivyokuwa mwanzoni. Lakini kama mlikutana na kuanza uhusiano wa kimapenzi straight awa it might be difficult to remain friends.
(kama hawa hapa: Arnold Schwarzenegger & Maria Shriver Reunite For Dinner In LA -- Are They Reconciling?)
Nne, sababu ya kuachana nayo inachangia tena sana.
Lakini, at the end of the day, kama kweli unataka ubakie kuwa rafiki na ex wako, it should only be because you like him as a friend. Nothing more.
So,kujibu swali lako, whether it is possible, inategemeana na mambo mengine wahusika wenyewe, how they started and ended the relationship, their true intentions, the aftermath of the break up, mazingira na mazagazaga mengine
RAIM, uko right kabisa mydia, kuachana katu si bifu but sometimes inapokuwa mmoja wenu hakubali muachano, kwa sababu anazozijua yeye na wazi si kwa kuwa anakupenda basi nadhani hapo hunabudi kuigeuza kuwa bifu. Mimi huyu mwanzoni alikuwa ananitake for granted, niliachana naye smoothly (including giving him second chances nyingi tu ili kama anaona bado ananihitaji kama nilivyokuwa namhitaji mimi, aweke wazi na kujirudi. Unfortunately zile second chances akaziabuse, akaendelea na maisha yake aliyoyataka. Mpaka niliposema nimetosheka naomba tukubaliane juu ya hili kwani ni wazi hanihitaji na mimi sioni sababu ya kuendelea kumng'angania. So alipoona nabadili mwelekeo, niko kivyangu na my kid, ndio akaanza visa vya kwapa.hapo ww 2 hisia zako, kwan kuachana ni bifu, labda mkataba wao ulikwisha
Khaa! Una roho ya kijasiri eh? Au ulikuwa haumpendi?Asprin ndg yangu! Binafsi siwezi achilia mbali kurudiana huo urafiki tu NO! Yaani hii thread imenikumbusha machungu ambayo nilikuwa naanza kuyasahahu, mimi hata salamu sina huo muda kabisa labda kwasababu yeye huwa anaanza kunisalimia
April am telling you, hiyo level niliyokuwa nimeiweka I was struggling to death, sasa bado mtu ananiambia niongeze?? Hivi nyie kina baba, umuabuse mwenzi wako, including vipigo vya kila mara na bila kuangalia ni barabarani au la, umfanye atake responsibilities zako simply because anafanya kazi, na bado umdhalilishe but yeye aendelee kukuheshimu kwa kukupa nafasi ya kuja kuwaona wanao, wanao wanaumwa wewe hujui wanatibiwaje (na si kuwa huambiwi, ila ukiambiwa ndo unakata mawasiliano only to wait usikie kuwa wanaendelea vema au wamepona ndio unakuja kuwachukua kwa matembezi na show offs, hujui wanao wanakula nini, wanavaa nini sana sana ukija ukakuta wamevaa nguo ulizowahiziona unakazana kuuliza hivi hawa hawana nguo nyingine??- unatizamwa kimya bila hata kufanyiwa vurugu. Halafu bado unatoka unalalamika kuwa unaonewa ! ah kusema ukweli najiona nimekuwa malaika vya kutosha, now I need that Devil in Me, kwa kweliInawezekana. Its a matter of will, if you have a heart made of stone you can do that, but a heart like mine am not sure, inawezekana lakini.
Duh, ni kamtihani hakoo
April am telling you, hiyo level niliyokuwa nimeiweka I was struggling to death, sasa bado mtu ananiambia niongeze?? Hivi nyie kina baba, umuabuse mwenzi wako, including vipigo vya kila mara na bila kuangalia ni barabarani au la, umfanye atake responsibilities zako simply because anafanya kazi, na bado umdhalilishe but yeye aendelee kukuheshimu kwa kukupa nafasi ya kuja kuwaona wanao, wanao wanaumwa wewe hujui wanatibiwaje (na si kuwa huambiwi, ila ukiambiwa ndo unakata mawasiliano only to wait usikie kuwa wanaendelea vema au wamepona ndio unakuja kuwachukua kwa matembezi na show offs, hujui wanao wanakula nini, wanavaa nini sana sana ukija ukakuta wamevaa nguo ulizowahiziona unakazana kuuliza hivi hawa hawana nguo nyingine??- unatizamwa kimya bila hata kufanyiwa vurugu. Halafu bado unatoka unalalamika kuwa unaonewa ! ah kusema ukweli najiona nimekuwa malaika vya kutosha, now I need that Devil in Me, kwa kweli
April am telling you, hiyo level niliyokuwa nimeiweka I was struggling to death, sasa bado mtu ananiambia niongeze?? Hivi nyie kina baba, umuabuse mwenzi wako, including vipigo vya kila mara na bila kuangalia ni barabarani au la, umfanye atake responsibilities zako simply because anafanya kazi, na bado umdhalilishe but yeye aendelee kukuheshimu kwa kukupa nafasi ya kuja kuwaona wanao, wanao wanaumwa wewe hujui wanatibiwaje (na si kuwa huambiwi, ila ukiambiwa ndo unakata mawasiliano only to wait usikie kuwa wanaendelea vema au wamepona ndio unakuja kuwachukua kwa matembezi na show offs, hujui wanao wanakula nini, wanavaa nini sana sana ukija ukakuta wamevaa nguo ulizowahiziona unakazana kuuliza hivi hawa hawana nguo nyingine??- unatizamwa kimya bila hata kufanyiwa vurugu. Halafu bado unatoka unalalamika kuwa unaonewa ! ah kusema ukweli najiona nimekuwa malaika vya kutosha, now I need that Devil in Me, kwa kweli
Mamii hata hivyo una moyo wa kipekee my dia, mimi huwa namwambia unaona nacheka na wewe vizuri kwa sababu unampenda mwanangu lakini ingekua ndivyo sivyo hata huyo mtoto asingekua ana muona angelazimisha ningemlaza hata polisi walahi. Wengine hatuna budi kupiga nao stori kwa ajili ya maslahi ya watoto sasa huyo hata hajui mtoto akiumwa anatibiwaje siku akija sikia ashaaga dunia? na wala hajui anakula nini ningekua mimi hata nikikutana nae no salam akinisalimia namuwasha kibao ili azinduke, wa kazi gani sa mtu wa hivyo?
Khaa! Una roho ya kijasiri eh? Au ulikuwa haumpendi?
Khaa! Una roho ya kijasiri eh? Au ulikuwa haumpendi?
Nilikuwa nampenda lakini si sasa, upendo uliisha siku nyingi sana na ninamchukia, nilishamwambia asiwe ananipigia simu na kunisms lakini hakomi, natafuta dawa ya kumkomesha