Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
hahahahah...roho ya MJ1 bwana inamtosha mwenyewe, sio ya kuiombea hata kidunchu, kuumia anaumia but anachelewa kuchukua maamuzi tena magumu na yacyo na mazoea, huyu kaka kila cku nasemega alimpata mwanamke(MJ1) hatakaa apate tena......angekuwa ni mie huyu mtoto angeenda kumwona skul 2, kwangu mazoea(hapa nicngetaka kuckia cjui namnyima mtoto haki yake)...
Unajua hawa viumbe wanaangalia pia na mtu kwanza anakupima akiona umelegea ndio anaanza madudu yake, mi mwanzoni aligoma kabisa kutunza nikamwambia poa nikaa kimya siku moja akatokea hm eti nimekuja mwona mtoto hakyanani hatokaa asahau siku ile na ndugu/wazazi nilishawaambiaga kwamba huyu mtu bora asuse milele asijetokea hapa na akitokea naomba kila mtu akae pembeni aniachie mwenyewe hiyo kazi. Na alipotokea kila mtu alibaki kimya tukabaki wenyewe. Alishika adabu mbona hawa bwana huwa wanakupima kwanza ili aone ukimchekea imekula kwako.
Muwahi huyo mj1 kabla mtoto hajatimiza miaka 7 kwani baadae unaweza jikuta mtoto unanyang'anywa wakati akiwa mdogo ulihangaika nae peke yako shaurilo.