#COVID19 Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

#COVID19 Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

Are you sure kwamba siyo wananchi wenyewe wasiopenda jambo hilo la chanjo ndio wanaotengeneza movie hii kisha wanaisingizia serikali yao!??? Where is the evidence!???
Cha kujiuliza ni kwamba kwanini wananchi wakatae chanjo ya coronavirus lakini chanjo zingine wazikubali
 
Cha kujiuliza ni kwamba kwanini wananchi wakatae chanjo ya coronavirus lakini chanjo zingine wazikubali
Wala hili halishangazi hata kidogo. What if chanjo hii ya Kovidi-19, tofauti na chanjo zingine, yenyewe ina madhara na kwamba ni suala la kimkakati!??? Are you sure, even!???
 
Unguja mzigo umetua kwa ajili ya kuchapa watu chanjo, soon naona kama huna chanjo unarudi Tanganyika na chombo ulichokuja nacho 😂!.
IMG-20210617-WA0007.jpg
 
Mungu apishe mbali tusifike huko. Majirani zetu wamefikia kiasi cha kuzika majeneza yasiyokuwa na maiti na kusingizia ni vifo vya corona ili wapewe mkopo wa kupambana na corona na kuhalalisha chanjo. Wananchi waliwashtukia wakawavamia na kulazimisha kulifungua jeneza.

Ni aibu ya mwaka!! Hawakukuta maiti ila matakataka tu! Angalia hapa mwenyewe!

 
Yule tapeli Museven yuko bize anazika maboksi.

Kawafungia watu wake ndani wanataabika, anawachapa mijeledi kwa kutumia mapolisi wake katili — kumbe issue ni pesa tu!

Na huyu Bibi Kidude wetu ameanza na naona anakuja kwa kasi, sijui kapewa mapesa kiasi gani!

Na anasema ataanza kuchanja kwanza wanajeshi.... whaaaat!!!

View attachment 1822095
Shida yetu waafrika kusoma hatutaki, tunataka kucheza ngoma na kutunzwa tu.

Kama mna wasiwasi na hili jambo, mlishandwae kuwa na wataalamu wa kuthibitisha kama hii chanjo ni sawa au ni mkakati? Maneno meeeengi mwisho wa siku mnawategemea hao hao wenye "mikakati" kwa kila kitu.
 
1. Je una hakika ni Uganda!???
2. Una ushahidi kwamba hili si suala la kutengeneza ili kuichafua serikali!???
 
Tapeli Museven at work!

Anamdanganya nani?

Kuwatesa kote kule watu wake kumbe yeye lengo lake ni kuvuna mapesa ya wazungu!

Zee chenga sana hili!
Angalia vizuri mwishoni. Maiti imo na marehemu alifariki kwa kisukari huku akiwa na corona vilevile. Link hiyo hapo:
 
Wala hili halishangazi hata kidogo. What if chanjo hii ya Kovidi-19, tofauti na chanjo zingine, yenyewe ina madhara na kwamba ni suala la kimkakati!??? Are you sure, even!???
Kinachohitajika kama waafrika wataungana vizuri waambiwe chanzo cha coronavirus.Yawezekana wazungu wametengeneza virusi ili kuongeza utegemezi kwa mataifa mengine ili wao waendelee kuwa juu kiuchumi
FB_IMG_1619114913230.jpg
 
Kuna ujinga zaidi ya kubugia machanjo bila kujua yametoka wapi?
Ujinga ni pale unapopinga kitu akisha huna elimu nacho, umechanjwa tangu utotoni hukujua zinatoka wapi, aidha wazee wako walikuwa wajinga na wewe kama una mtoto utakuwa mjinga. Unajua dawa za Hospital zimetoka wapi?
 
Kinachohitajika kama waafrika wataungana vizuri waambiwe chanzo cha coronavirus.Yawezekana wazungu wametengeneza virusi ili kuongeza utegemezi kwa mataifa mengine ili wao waendelee kuwa juu kiuchumiView attachment 1822101
Actually, siwalaumu sana the so-called Wazungu; matatizo mengi yanayolisibu Bara zuri la Afrika ni ya kujitakia na kujitafutia. The people of Africa plus their leaders are the ones to blame.
 
Ujinga ni pale unapopinga kitu akisha huna elimu nacho, umechanjwa tangu utotoni hukujua zinatoka wapi, aidha wazee wako walikuwa wajinga na wewe kama una mtoto utakuwa mjinga. Unajua dawa za Hospital zimetoka wapi?
Ujinga ni kudhani kuwa kama jirani yako tangu utotoni amekuwa akikuleteeni mkate wa msaada, basi na leo, kwa vile tu amebeba mfuko uleule, na amekuja majira yaleyale, na anatumia maneno yaleyale ya ufadhili na huruma na hisani, basi lazima pia, by default, ameleta mkate uleule.

^Trojan Horse^

When the Greeks had lain siege to Troy for ten years, without results, they pretended to retreat. They left behind a huge wooden horse, in which a number of Greek heroes, among whom Odysseus, had hidden themselves. The spy Sinon convinced the Trojans, despite the warnings of Laocoon, to move the horse inside the city as a war trophy. In the following night, the Greeks left the wooden horse and attacked the unsuspecting and celebrating Trojans, and finally conquered Troy.
 
Amani kwako mdau.

Twende pamoja.
Corona ilipoanza kushika kasi barani Afrika, baadhi ya nchi zilijiwekea utaratibu ili kuthibiti kuenea na kupelekea maafa kwa raia wake.

Hapa Afrika mashariki tunafahamu kila taifa lilikuwa na msimamo wake ili kujikinga na janga hilo la corona, although huko London uingereza wananchi wamegoma kulishwa matango poli kuhusu hilo gonjwa.

Mpaka sasa bado hatujaona au kusikia hisia zenye kuleta neema ya kuepuka ugonjwa huu, pamoja na kuwepo kwa inayosemwa kuwa kinga na ambayo inasambazwa kwa baadhi ya nchi duniani.

Kuna kituko hapo nchi jirani ya Uganda, Wananchi wanadai serikali yao inazika majeneza tupu ili kuaminisha watoa misaada kuongezeka kwa covid ili serikali ipate mikopo.

Wananchi wameanza kuhisi harufu ya udanganyifu, toka Museveni kutangaza aina ya tatu ya kirusi hatari cha corona na kuzuia baadhi ya shughuli kuendelea, inasemekana kuna sinema inachezwa hapo


View attachment 1822079
Afu Kuna wajinga wanasema waafrika tuna akili, nimskie tena mtu
 
Back
Top Bottom