#COVID19 Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

#COVID19 Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

Ila Mungu hadhihakiwi!! Watu wakubwa wategemee kuumbuliwa na Mungu!! Yetu macho!! Haiwezekani atuponye halafu watu wakatae kumpa utukufu na kukimbilia kwa wale ambao corona bado inawatesa!! Kisa eti ni wazungu na wana pesa (ambazo wao hazijawaokoa na corona!).
 
Majirani wanahaha kujisafisha!! Maji yakimwagika hayazoleki! Haiwezekani mtuhumiwa eti ndio aje kutoa maelezo na yakubàlike!!
 
Ujinga ni kudhani kuwa kama jirani yako tangu utotoni amekuwa akikuleteeni mkate wa msaada, basi na leo, kwa vile tu amebeba mfuko uleule, na amekuja majira yaleyale, na anatumia maneno yaleyale ya ufadhili na huruma na hisani, basi lazima pia, by default, ameleta mkate uleule.
Ujinga ni pale kuwa tangu utotoni mwako jirani yako huyo amekuwa anakuleteeni mkate wa msaada na hakuwahi kuwafanyia ubaya, kwa vile amekuona tena una njaa na anataka kukusaidia wewe ukaona kuwa anataka kukupa sumu.
 
Angalia vizuri mwishoni. Maiti imo na marehemu alifariki kwa kisukari huku akiwa na corona vilevile. Link hiyo hapo:
Siyo kweli. Ingia facebook ambako kuna clip ya dk 4 uone watu walivyoyachambua hayo matambala bila kuona mtu. Kwa kawaida jeneza lenye maiti huwezi kupata shida ya kumtafuta ukilifungua. Halafu hili tukio ni la hadharani na mamlaka zinahaha namna ya kujisafisha!!
 
1. Je una hakika ni Uganda!???
2. Una ushahidi kwamba hili si suala la kutengeneza ili kuichafua serikali!???
Hii habari niliiketa Jana mida kama hii kwa lugha ya kimombo. Unakumbuka bosi? Kelele zikapigwa Sana mpk mods wakaitoa
 
Actually, siwalaumu sana the so-called Wazungu; matatizo mengi yanayolisibu Bara zuri la Afrika ni ya kujitakia na kujitafutia. The people of Africa plus their leaders are the ones to blame.
Uhuru wa kweli ni wa kiuchumi. Wazungu wanatumia mapandikizi kuturudisha nyuma ili waafrika tuendelee kuwa watumwa.
 
Ujinga ni pale kuwa tangu utotoni mwako jirani yako huyo amekuwa anakuleteeni mkate wa msaada na hakuwahi kuwafanyia ubaya, kwa vile amekuona tena una njaa na anataka kukusaidia wewe ukaona kuwa anataka kukupa sumu.

I understand it already. We would be naive of the worst class to believe that all days are Friday -- that our friends today will always be so tomorrow and forever. That's presumption. History has never been a bad teacher; ni kwamba tu has never found students (wazuri). ^When they (!???) tell you it's raining, go find out if they're not lying^ ~ Anonymous.
 
Ujinga ni pale unapopinga kitu akisha huna elimu nacho, umechanjwa tangu utotoni hukujua zinatoka wapi, aidha wazee wako walikuwa wajinga na wewe kama una mtoto utakuwa mjinga. Unajua dawa za Hospital zimetoka wapi?
Hata kama Sina elimu nacho lakini kama napinga kwa hoja itabidi wanijibu kwa hoja. Hata hizo chajo za utotoni yawezekana ni moja ya njia inayotufanya tuendelee kuwa wategemezi. Cha muhimu ni kuwekeza zaidi kwenye utafiti na kutengeneza uwezo wa ndani. Maana saivi yawezekana vita vya kiuchumi imehamia upande huu wa kutengeneza virusi
 
Inaweza pia ikawa simulation !!
Ila Mungu hadhihakiwi!! Watu wakubwa wategemee kuumbuliwa na Mungu!! Yetu macho!! Haiwezekani atuponye halafu watu wakatae kumpa utukufu na kukimbilia kwa wale ambao corona bado inawatesa!! Kisa eti ni wazungu na wana pesa (ambazo wao hazijawaokoa na corona!).
Majirani wanahaha kujisafisha!! Maji yakimwagika hayazoleki! Haiwezekani mtuhumiwa eti ndio aje kutoa maelezo na yakubàlike!!
Siyo kweli. Ingia facebook ambako kuna clip ya dk 4 uone watu walivyoyachambua hayo matambala bila kuona mtu. Kwa kawaida jeneza lenye maiti huwezi kupata shida ya kumtafuta ukilifungua. Halafu hili tukio ni la hadharani na mamlaka zinahaha namna ya kujisafisha!!

Ule ujasiri tu wa wananchi kuvamia jeneza linalosadikiwa kuwa na mwili wa aliyefariki kwa korona ni hoja nzito na toshelevu inayoweza kuthibitisha kwamba hii senario ni ya kupika kwa lengo la kuichafua serikali.
 
^When they (!???) tell you it's raining, go find out if they're not lying^ ~ Anonymous.
And here is most of them, not finding out if they're not lying but staying in their houses denying it is raining outside
 
Hata kama Sina elimu nacho lakini kama napinga kwa hoja itabidi wanijibu kwa hoja. Hata hizo chajo za utotoni yawezekana ni moja ya njia inayotufanya tuendelee kuwa wategemezi. Cha muhimu ni kuwekeza zaidi kwenye utafiti na kutengeneza uwezo wa ndani. Maana saivi yawezekana vita vya kiuchumi imehamia upande huu wa kutengeneza virusi
Una hoja gani ulotumia kupinga?

Watu wanhoji kuwa huenda chanjo zilizokuja Afrika sio sawa na zile walizopeana huko nje, with what proof?
 
Majirani wanahaha kujisafisha!! Maji yakimwagika hayazoleki! Haiwezekani mtuhumiwa eti ndio aje kutoa maelezo na yakubàlike!!
Hivi inawezekanaje viongozi wa serikali hiyo, wacheze movie ya aina hiyo?

Haya sasa wanahaha kuzificha sura zao!
 
Yote ni maigizo tu, ni kitu gani kinamsukuma mwananchi wa kawaida kuzuia maafsa wa serikali wasizike jeneza tupu? katika hali ya kawaida mnaweza kujikusanya na kwenda makaburini kusubiri hayo majeneza matupu?
 
Mungu apishe mbali tusifike huko. Majirani zetu wamefikia kiasi cha kuzika majeneza yasiyokuwa na maiti na kusingizia ni vifo vya corona ili wapewe mkopo wa kupambana na corona na kuhalalisha chanjo!! Wananchi waliwashtukia wakawavamia na kulazimisha kulifungua jeneza!! Ni aibu ya mwaka!! Hawakukuta maiti ila matakataka tu! Angalia hapa mwenyewe!
The end justifies the means! People zinacheat daily in different aspects to gain something and make a living!
Husbands are cheaters
Wives are cheaters
Children are cheaters
Workers are cheaters
Business men n women are cheaters
Politicians are cheaters AND SO THE GOVERNMENT!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni pale unapopinga kitu akisha huna elimu nacho, umechanjwa tangu utotoni hukujua zinatoka wapi, aidha wazee wako walikuwa wajinga na wewe kama una mtoto utakuwa mjinga. Unajua dawa za Hospital zimetoka wapi?
Mkuu hizi chanjo za corona hazijapitia kwenye stages zote muhimu zinazotakiwa kupitia kabla ya kuanza kutumika hapo ndipo shida inapoanzia na ndiyo maana hata ukizurika na chanjo hizo huwezi kumshitaki mtengenezaji wa chanjo lakini zile chanjo zilizopitia stages zote ikikuzuru unaweza kuuomba fidia. Hizi Chanjo bado ziko kwenye majaribio. Hapa TZ serikali imeshasema haimlazimishi Mtz kuchanja basi wewe mkuu changamkia fursa mara chanjo ikifika usimlaumu mwananchi asiyetaka kuchanja hata mimi nasema sitachanja na chanjo hizi za majaribio niko tayari kufa na corona kama ninavyoweza kufa na magonjwa mengine tu.
 
Back
Top Bottom