Is our president serious?

Is our president serious?

Jamani sidhani kama hizo petty issues kama za kufuata protocal au kutumia muda mrefu kwenye maswali au hata professionalism ya huyo Journalist vina umuhimu hapa. Hebu tuache mchezo ya kutafuta vijisababu vya justify ugoigoi hapa. Kitu kikubwa hapa ni uzembe wa Rais wetu Kikwete, kushindwa kujibu swali ambalo alitakiwa awe na jibu au hata na idea ya kitu cha kujibu.

Pia sidhani kwamba lile swali lilikosewa kuulizwa eti sijui viongozi warudi wakaongee na baraza la mawaziri ili ijulikane Foreign Policy ya Tanzania, hakuna kitu kama hicho, unapozungumzia sera za kiuchumi na wewe ni kiongozi wa nchi lazima uwe na plans na hata contingency plans ambazo zinaweza kuiinua nchi kutoka katika janga hilo. Hii crisis haijatokea leo ambapo Rais anakuwa hana jibu hata moja.

Kikwete umechemsha big time.

Mkuu hapa tuko pamoja.Sisi wabongo kwa vijisababu bwana hatuwezekani.Mtu kachemsha na jambo liko wazi kabisa lakini watu ni spin spin spin!sasa huyo Asha hata asingepitiliza huo muda,angefuata protocol sijui kama mnavyodai,ndiyo ingefanya Kikwete apate majibu ya maswali yake ama vipi?haya tufanye huyu dada kachemsha kama mnavyodai mbona Davos kwenye economic forum Kikwete alichemsha big time mpaka mama wa nigeria waziri alikuwa anamcheka?Tukubali tu Kikwete mchemshaji na wasaidizi wake kama wanapita hapa JF wampelekee hizi habari ili siku zijazo ajinoe kwanza kabla ya kwenda kwenye mahojiano ya namna hii.
 
Mkuu hapa tuko pamoja.Sisi wabongo kwa vijisababu bwana hatuwezekani.Mtu kachemsha na jambo liko wazi kabisa lakini watu ni spin spin spin!sasa huyo Asha hata asingepitiliza huo muda,angefuata protocol sijui kama mnavyodai,ndiyo ingefanya Kikwete apate majibu ya maswali yake ama vipi?haya tufanye huyu dada kachemsha kama mnavyodai mbona Davos kwenye economic forum Kikwete alichemsha big time mpaka mama wa nigeria waziri alikuwa anamcheka?Tukubali tu Kikwete mchemshaji na wasaidizi wake kama wanapita hapa JF wampelekee hizi habari ili siku zijazo ajinoe kwanza kabla ya kwenda kwenye mahojiano ya namna hii.

Again, kusema mapungufu ya huyo dada hakuna maana ya kumtetea Kikwete, wote wamechemsha, na kuna sehemu wote wamepatia.Lazima tuwe fair.

Ukiwa na mentality ya all or nothing, Kikwete or Aisha, hii mimi naiita "one track mind". Unakuwa kama George Bush na doctrine yake simplistic ya "Good over Evil" black or white wakati dunia ya kweli ina all in between shades of grey.
 
afadhali umesema uwe corrected! nasema Kikwete ni mpiga ngoma za mdundiko , kwa taarifa yako, naweza nikakutajia ordinary people katika jamii yetu, ambao wangeweza kujibu swali vizuri, swali kujibu ni rahisi kama ni hicho kitu concern yako ya kila siku.

Kama umeendelea kuangalia mjadala huu, kuna Bob Geldof ( angalia dakika ya 15:48-16:00 Uone wanaume) anamponda Kikwete Live kuwa anaenda bandarini ANASEMA ANAJUA MAJINA YA WEZI HAWATAJI! HUKU WANAKULA FEDHA ZA UMMA! Kikwete ni 0 , zero I mean sifuri, au kwa msisitizo yai


ooooouuuuwiiii!
 
Jamani sidhani kama hizo petty issues kama za kufuata protocal au kutumia muda mrefu kwenye maswali au hata professionalism ya huyo Journalist vina umuhimu hapa. Hebu tuache mchezo ya kutafuta vijisababu vya justify ugoigoi hapa. Kitu kikubwa hapa ni uzembe wa Rais wetu Kikwete, kushindwa kujibu swali ambalo alitakiwa awe na jibu au hata na idea ya kitu cha kujibu.

Pia sidhani kwamba lile swali lilikosewa kuulizwa eti sijui viongozi warudi wakaongee na baraza la mawaziri ili ijulikane Foreign Policy ya Tanzania, hakuna kitu kama hicho, unapozungumzia sera za kiuchumi na wewe ni kiongozi wa nchi lazima uwe na plans na hata contingency plans ambazo zinaweza kuiinua nchi kutoka katika janga hilo. Hii crisis haijatokea leo ambapo Rais anakuwa hana jibu hata moja.

Kikwete umechemsha big time.

Absolutely Mazee!! You on point on this one. Kumlaumu Isha (Aisha) ni kuleta visingizio visivyo na kichwa wala miguu.

Kikwete kama raisi wa nchi tena aliyesomea uchumi, anatakiwa azijue sera za nchi yake hata kama akiamshwa kutoka usingizini usiku wa manane.

Huyu jamaa sio mara yake ya kwanza kuchemsha kwenye kujibu maswali. Tafuteni footage za panel discussions ambazo amewahi kushiriki muone. Hata kama hizo so called "protocol" zifuatwe kiasi gani, jamaa ni mtupu..iwe kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza. Isha (Aisha) kauliza swali jepesi kabisa na Kikwete hata sijui kajibu nini. Kanikumbusha yule Ms. (Teen) South Carolina.......[ame=http://www.youtube.com/watch?v=lj3iNxZ8Dww]YouTube - Miss Teen USA 2007 - South Carolina answers a question[/ame]

He is not coherent. He is not a (policy) wonk. He is just not that smart.
 

Halafu naangalia vizuri naona Bob Geldof amemblast Kikwete live kwamba huwezi kwenda bandarini na ukawa unajua uzembe na kusema nawajua wezi bila kuwataja.

Mizengo Pinda nae katoa nyingine kama hiyo jana Ubungo.

Kawa lambast Halmashauri ya Jiji na Kituo cha mabasi Ubungo kwamba hawana majibu kuhusu mkataba wa Kinje na Jiji uliokaa kifisadi halafu kaondoka, kaagiza warekebishe mkataba! Akaenda Kigogo kaagiza dampo lifungwe by September! Yani haphazard solutions za hapa na pale, hakuna sweeping regulatory enforcement or robust policy revamp.

Kikwete kawaambia Bandari nina majina ya mafisadi nitawaletea, akawagombeza eti kwa nini nyinyi hamuwajui humu humu. Kaondoka! Kawaacha hivyo na huo udhaifu wa kutokuwa na uwezo wa ku ferret out mafisadi wanao wala walio nguoni mwao humo humo. Yani kajiondokea tu!

No accountability, no sanctions, no heads rolling, no nothing!
 
"name those thieves", bob g told kikwete

je rais atamsikiliza bob g na kuwataja hao wa bandarini na kuwachukulia hatua au ataendelea na ububu wake na kuuza sura....

Sio bandarini tu hata ra
 
hivi mmeona hapa jk (wa nne kutoka kulia) alivyonyoosha mkono kizushi. Ananikumbusha mambo ya skuli. Unanyoosha mkono ili mradi uonekane humo (wakati kumoyo unaomba mwalimu asikuchague).....gademu!!

qm-albums-funny-pictures-picture377-kikwete.jpg

hii inaonyesha kwamba anajijua yeye ni kihiyo ndio maana amenyoosha mkono kwa uwoga.

Jamani mimi au na nyie pia? Kwa wale mlioiona hii video, mimi kila mara natamani kuirudia kuangalia, hehehe......
 
Angalia dakika ya 30 -32 , muangalie aisha akiuliza swali wakati kikwete akianza kujibu wewe concentrate kwa aisha utamuona anaogopa(body language yake) rais wetu atakavyoboronga
 
Mkandara, the quetion did not require a genious to answer it. It was so simple what would the country do differently in its investment strategies in the wake of this financial crisis. Seriously I can think of a quick answer, Tourism, low the fees to attract more people to our wildlife attraction sites. Create more friendlier investment policy, since the current ones are not so attractive. Look at those policy that are not so attractive. As Bob Gendolf said, reform the major infrastructure such as the port, that is so important for a country's economy. Jamani does it have to take Gendolf to come and tell us to fire people. It was so embarrassing. He even said right on the President's face.

I hope Jk learned something. If you have strict investment policies most likely they will turn to another country. Our rank on how conducive it is to invest in Tanzania is still very low.
Just some thoughts
 
... the quetion did not require a genious to answer it. It was so simple what would the country do differently in its investment strategies in the wake of this financial crisis. Seriously I can think of a quick answer, Tourism, low the fees to attract more people to our wildlife attraction sites. Create more friendlier investment policy

If you have strict investment policies most likely they will turn to another country.

No! Kumbe na wewe hukuelewa swali! Swali sio what would you do differently. Swali ni what are you doing differently!

Kingine, hata kama swali ndio lingekuwa hilo la would/should/could do, bado na wewe ungechemka kwa sababu watalii kuja kuona wanyama sio investment!

Tunaongelea makampuni ya nje ambayo yamepigwa na dhoruba ya recession na credit crunch unayavutia vipi sasa hivi yaje kuanzisha mabiashara? We unaongelea kuvutia individuals kuja kutazama twiga! Wapi na wapi.

Halafu unaongelea kuboresha investment policy. Kivipi, kwa mfano nini, how? Kuboresha how?

Na wewe wangekukatisha!
 
Real quick...lower taxes....streamline (whatever) the process (is) to get rid of red tape....improve(d) security....infrasctructure (energy..communication...transportation)...

Kikwete alishindwa kusema haya jamani? Or even BS his way around them? Wow!!!
 
No matter how you phrase the quetion, reality ni kwamba if you have investment policies that are not friendly to attract FDI, who will bother to invest in your country. How are you going to attract FDI in such policies. Did you hear what BOb said regarding investors being fearful investing in an environment that is full of uncertainities. You need to have policies that would protect investors. Investors need to know their assetts are protected. With the current investment policies in Tanzania to attract investors you need to reform these policies to attract them to invest in your countries. Kama tourism is not an investment, CC Africa, Thomson and many others investing in Tanzania wanafanya nini sasa. These people have facilities in Tanzania sasa hayo ni mapambo. Kama incentives zinaattract, regardless the financial crisis its possible. Kwa nini nchi kama Lesotho imeweza kuattract gap and other outlets to invest in their countries. This has created jobs for the country. Tourism ni investment my friend. Look at its contribution to the GDP of Tanzania. A cut from this contribution it is a significant cut.
 
No matter how you phrase the quetion, reality ni kwamba if you have investment policies are not friendly to attract FDI, who will bother to invest in your country. How are you going to attract FDI in such policies. Did you hear what BOb said regarding investors being fearful investing in an evnironment that is full of uncertainities. You need to have policies that would protect investors. With the current investment policies in Tanzania to attract investors you need to reform these policies to attract them to invest in your countries. Kam incentives zinaattract, regardless the financial crisis its possible. Kwa nini nchi kama Lesotho imeweza kuattract gap and other outlets to invest in their countries. This has created jobs for the country. Tourism ni investment my friend. Look at its contribution to the GDP of Tanzania. A cut from this contribution it is a significant cut.

Unazidi kuchemsha!

Unaulizwa umefanya nini, unafanya nini ambacho ni tofauti katika mazingira haya mapya yasiyo ya kawaida?

Unasema "no matter how you phrase the question..." no no no, jibu swali kama lilivyo ulizwa.

Usitoe hizo garden variety answers za kila siku. Ndio maana Kikwete akaulizwa mara ya pili, what the heck are you doing now, how is it different in this kind of nightmarish financial crunch and economic downturn.

Unalo jibu wewe kweli Kilandu wewe? Yani unaibuka ku criticize jibu la Kikwete halafu la kwako fyongo! Kuvutia mbuga za wanyama! Nakwambia na wewe wangekukatishilia mbali!
 
Duh! Nimeangalia tena mwanzo wa hayo majadiliano...this time I cringed with embarassment watching him struggle to answer the seemingly easy question(s).
 
Back
Top Bottom