shauri lako!!
Na Kelly01 anakusikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shauri lako!!
Jamani sidhani kama hizo petty issues kama za kufuata protocal au kutumia muda mrefu kwenye maswali au hata professionalism ya huyo Journalist vina umuhimu hapa. Hebu tuache mchezo ya kutafuta vijisababu vya justify ugoigoi hapa. Kitu kikubwa hapa ni uzembe wa Rais wetu Kikwete, kushindwa kujibu swali ambalo alitakiwa awe na jibu au hata na idea ya kitu cha kujibu.
Pia sidhani kwamba lile swali lilikosewa kuulizwa eti sijui viongozi warudi wakaongee na baraza la mawaziri ili ijulikane Foreign Policy ya Tanzania, hakuna kitu kama hicho, unapozungumzia sera za kiuchumi na wewe ni kiongozi wa nchi lazima uwe na plans na hata contingency plans ambazo zinaweza kuiinua nchi kutoka katika janga hilo. Hii crisis haijatokea leo ambapo Rais anakuwa hana jibu hata moja.
Kikwete umechemsha big time.
Mkuu hapa tuko pamoja.Sisi wabongo kwa vijisababu bwana hatuwezekani.Mtu kachemsha na jambo liko wazi kabisa lakini watu ni spin spin spin!sasa huyo Asha hata asingepitiliza huo muda,angefuata protocol sijui kama mnavyodai,ndiyo ingefanya Kikwete apate majibu ya maswali yake ama vipi?haya tufanye huyu dada kachemsha kama mnavyodai mbona Davos kwenye economic forum Kikwete alichemsha big time mpaka mama wa nigeria waziri alikuwa anamcheka?Tukubali tu Kikwete mchemshaji na wasaidizi wake kama wanapita hapa JF wampelekee hizi habari ili siku zijazo ajinoe kwanza kabla ya kwenda kwenye mahojiano ya namna hii.
afadhali umesema uwe corrected! nasema Kikwete ni mpiga ngoma za mdundiko , kwa taarifa yako, naweza nikakutajia ordinary people katika jamii yetu, ambao wangeweza kujibu swali vizuri, swali kujibu ni rahisi kama ni hicho kitu concern yako ya kila siku.
Kama umeendelea kuangalia mjadala huu, kuna Bob Geldof ( angalia dakika ya 15:48-16:00 Uone wanaume) anamponda Kikwete Live kuwa anaenda bandarini ANASEMA ANAJUA MAJINA YA WEZI HAWATAJI! HUKU WANAKULA FEDHA ZA UMMA! Kikwete ni 0 , zero I mean sifuri, au kwa msisitizo yai
Ingekuwa haya haya tunayoyashuhudia sasa....heheheheheheee
Jamani sidhani kama hizo petty issues kama za kufuata protocal au kutumia muda mrefu kwenye maswali au hata professionalism ya huyo Journalist vina umuhimu hapa. Hebu tuache mchezo ya kutafuta vijisababu vya justify ugoigoi hapa. Kitu kikubwa hapa ni uzembe wa Rais wetu Kikwete, kushindwa kujibu swali ambalo alitakiwa awe na jibu au hata na idea ya kitu cha kujibu.
Pia sidhani kwamba lile swali lilikosewa kuulizwa eti sijui viongozi warudi wakaongee na baraza la mawaziri ili ijulikane Foreign Policy ya Tanzania, hakuna kitu kama hicho, unapozungumzia sera za kiuchumi na wewe ni kiongozi wa nchi lazima uwe na plans na hata contingency plans ambazo zinaweza kuiinua nchi kutoka katika janga hilo. Hii crisis haijatokea leo ambapo Rais anakuwa hana jibu hata moja.
Kikwete umechemsha big time.
Hapo sasa!....LOL
Halafu naangalia vizuri naona Bob Geldof amemblast Kikwete live kwamba huwezi kwenda bandarini na ukawa unajua uzembe na kusema nawajua wezi bila kuwataja.
sumaye hehehe...
je angekuwa kanali yusufu makamba.........
hivi mmeona hapa jk (wa nne kutoka kulia) alivyonyoosha mkono kizushi. Ananikumbusha mambo ya skuli. Unanyoosha mkono ili mradi uonekane humo (wakati kumoyo unaomba mwalimu asikuchague).....gademu!!
![]()
... the quetion did not require a genious to answer it. It was so simple what would the country do differently in its investment strategies in the wake of this financial crisis. Seriously I can think of a quick answer, Tourism, low the fees to attract more people to our wildlife attraction sites. Create more friendlier investment policy
If you have strict investment policies most likely they will turn to another country.
God forbid!
Sumaye Harvard graduate tehe tehe tehe.
No matter how you phrase the quetion, reality ni kwamba if you have investment policies are not friendly to attract FDI, who will bother to invest in your country. How are you going to attract FDI in such policies. Did you hear what BOb said regarding investors being fearful investing in an evnironment that is full of uncertainities. You need to have policies that would protect investors. With the current investment policies in Tanzania to attract investors you need to reform these policies to attract them to invest in your countries. Kam incentives zinaattract, regardless the financial crisis its possible. Kwa nini nchi kama Lesotho imeweza kuattract gap and other outlets to invest in their countries. This has created jobs for the country. Tourism ni investment my friend. Look at its contribution to the GDP of Tanzania. A cut from this contribution it is a significant cut.