Kuhani
JF-Expert Member
- Apr 2, 2008
- 2,944
- 64
Kwi kwi kwi kwii kwii wenzio kile kivazi ndiyo kilifanya tuangalie ule mdahalo kwa muda wote (on right touch, no offense intended)
Mkodoleaji,
Kile kivazi Isha asingevaa kama angekuwa ana moderate ule mdahalo ndani ya Tripoli. Kwa nini, kwa sababu wanaheshimu utamaduni wa watu wa kipande kile. In fact angejipiga ushungi na hijabu na baibui and all that. Laura Bush style. Kwa nini, kwa sababu them people wa kipande kile huwa hawataki ujinga. Na watu wa CNN International huwa wanategemewa waheshimu desturi za local culture.
Sisi Waafrika wa sub-sahara ndio dada anakuja ku moderate an African orientated forum na ki blauzi kinaonyesha vikamba vya shimizi! Mbele ya dignitaries lukuki. Yani sijui kwa nini nilisahau kumwambia kuhusu kile kinguo. Na moja ya themes ya ile forum, kama alivyosema yule activist musician mwenye macheni makuuubwa (by the way, pale Nyerere asingekaa pale, in fact kuna wakati yule bishoo alitukana "shit") kama alivyosema wazi wazi yule mzungu mwenye macheni "acheni kuwa ma supplicants." Kuhofia hofia hawa wadhungu hawa (Tanzania yule Isha ni mzungu!).
Tena usizidi kuniudhi kabisa Mkodoleaji, usicheke kabisa, nisije nikavuta waya CNN International sasa hivi kuchafua hali ya hewa on that binti, never mind the e-mail thing. 😡