Is our president serious?

Is our president serious?

Kwi kwi kwi kwii kwii wenzio kile kivazi ndiyo kilifanya tuangalie ule mdahalo kwa muda wote (on right touch, no offense intended)

Mkodoleaji,

Kile kivazi Isha asingevaa kama angekuwa ana moderate ule mdahalo ndani ya Tripoli. Kwa nini, kwa sababu wanaheshimu utamaduni wa watu wa kipande kile. In fact angejipiga ushungi na hijabu na baibui and all that. Laura Bush style. Kwa nini, kwa sababu them people wa kipande kile huwa hawataki ujinga. Na watu wa CNN International huwa wanategemewa waheshimu desturi za local culture.

Sisi Waafrika wa sub-sahara ndio dada anakuja ku moderate an African orientated forum na ki blauzi kinaonyesha vikamba vya shimizi! Mbele ya dignitaries lukuki. Yani sijui kwa nini nilisahau kumwambia kuhusu kile kinguo. Na moja ya themes ya ile forum, kama alivyosema yule activist musician mwenye macheni makuuubwa (by the way, pale Nyerere asingekaa pale, in fact kuna wakati yule bishoo alitukana "shit") kama alivyosema wazi wazi yule mzungu mwenye macheni "acheni kuwa ma supplicants." Kuhofia hofia hawa wadhungu hawa (Tanzania yule Isha ni mzungu!).

Tena usizidi kuniudhi kabisa Mkodoleaji, usicheke kabisa, nisije nikavuta waya CNN International sasa hivi kuchafua hali ya hewa on that binti, never mind the e-mail thing. 😡
 
Mkodoleaji,

Tena usizidi kuniudhi kabisa Mkodoleaji, usicheke kabisa, nisije nikavuta waya CCN International sasa hivi kuchafua hali ya hewa on that binti, never mind the e-mail thing. 😡

Mkuu Kuhani Punguza hasira nimeona dossier ila nadhani akiipata itamfanya fikirie mara mbili mbili next time akiwa na wakubwa....hahaha
 
[QUOTETena usizidi kuniudhi kabisa Mkodoleaji, usicheke kabisa, nisije nikavuta waya CCN International sasa hivi kuchafua hali ya hewa on that binti, never mind the e-mail thing. 😡[/QUOTE]

Pole Kuhani mkuu wangu.
Wenzio ni wakodoleaji bila vitu kama vile macho hayakai kwenye screen. Hao waarabu na kuficha nywelie zao nao wanapenda vilemba. Sisi binti anatakiwa ajimwage kisawasawa. Si unasikia vitu vya mswati vinavyokuwa mpaka muungwana mwenyewe alivizimia na ninahisi mama alikuja juu. Ikabidi muungwana akiri udhaifu na kumwambia mama kuwa 'pale hata ungekuwa wewe mwanaume ungechanganyikiwa'. Mama naye si uliona alienda kuhakikisha, bongo wakaanza umbeya sijui TAMWA nk. Hayo ndiyo mapigo ya kibantu kuhani kwi kwi kwi kwi kwi kwi (this is just for a week end)
 
The problem with Tanzania will not disappear no matter the amount of money spent on CNN for adverts. Our problem is man made. Until we develop the culture of holding past leaders responsible for their deeds while in office, until we start sending those that rig elections and those that supervise stupid elections to jail, until we remove the lust of lucre from political/elective posts, until we the people realize that we hold the real powers, until that day.

Truly, Tanzania is a lovely country. Let us not leave the running of our country in the hands of certificate forgers, coup plotters, election riggers, fraudsters, thugs, kidnappers, treasury looters, occultists, kleptomaniacs, charlatans, megalomaniacs! This is our country and it belongs to all of us.
 
Heheheheheee...mijitu mingine bana...eti imeshaanza kumlaumu bibie Isha (Aisha). Kama Kikwete angejibu maswali yote kwa kujiamini na kwa eloquence ya hali ya juu haya sijui ya nguo aliyovaa Aisha, oooh..sijui alipitiliza muda...oooh sijui aliwaomba wanyooshe mikono na upumbavu pumbavu mwingine wala msingekuwa mnayakuza hivyo na wala vijitu vingine visingepatwa na viherere na vimbelembele vya kuandika vibarua ambavyo huenda hata visisomwe na bibie. Raisi angefanya vizuri kwenye huo mjadala ungesikia watu wanasema...'aah ebana Kikwete noma...jamaa ni kichwa (whatever ze hell that means)...Kikwete kiboko aisee n.k.

Raisi kachemsha, mwisho wa habari. Haikuwa mara yake ya kwanza na haitakuwa mara yake ya mwisho. Sasa sijui mtaendelea kuwalaumu wengine kwa uchemfu wake? Hey...mna kila haki ya kumtafuta mchawi ni nani kila achemkapo. Safari ijayo labda mtawalaumu wasaidizi wake....who knows....

Ngoja niende zangu Midtown sasa hivi...I hope ntakutana naye...eheheheheee....

By the way, msisahau kuangalia kipindi cha Inside Africa kitakachorushwa saa moja na nusu usiku (saa za Mashariki Marekani) kwenye CNN International. Kama hutakuwepo nyumbani...basi tegesha DVR yako ili usiweze kumkosa bibie Aisha Sessay....
 
Last edited:
Jamani for those who have been watching the IMF meeting at the BOT Towers, have u noticed like i have how aisha wa CNN alivyo muuliza kikwete simple questions na kashindwa kujibu kwa uhakika...jioneeni

Concluding Plenary » Africa is changing...

Hivi katika hali kama ile tujalie Rais kikwete amekuwa na harakati nyingine za kiserekali nje ya nchi badala yake awakiliswe na Mheshimiwa RAIS wa ZANZIBAR DR ALI ABED Aman KARUME na kukabiliwa na swala kama lile aliloulizwa kikwete hivi leo nchi hii ingetafsiriwa vipi katika Ulimwengu huu
 
mkodoleaji,

kile kivazi isha asingevaa kama angekuwa ana moderate ule mdahalo ndani ya tripoli. Kwa nini, kwa sababu wanaheshimu utamaduni wa watu wa kipande kile. In fact angejipiga ushungi na hijabu na baibui and all that. Laura bush style. Kwa nini, kwa sababu them people wa kipande kile huwa hawataki ujinga. Na watu wa cnn international huwa wanategemewa waheshimu desturi za local culture.

Sisi waafrika wa sub-sahara ndio dada anakuja ku moderate an african orientated forum na ki blauzi kinaonyesha vikamba vya shimizi! Mbele ya dignitaries lukuki. Yani sijui kwa nini nilisahau kumwambia kuhusu kile kinguo. Na moja ya themes ya ile forum, kama alivyosema yule activist musician mwenye macheni makuuubwa (by the way, pale nyerere asingekaa pale, in fact kuna wakati yule bishoo alitukana "shit") kama alivyosema wazi wazi yule mzungu mwenye macheni "acheni kuwa ma supplicants." kuhofia hofia hawa wadhungu hawa (tanzania yule isha ni mzungu!).

Tena usizidi kuniudhi kabisa mkodoleaji, usicheke kabisa, nisije nikavuta waya cnn international sasa hivi kuchafua hali ya hewa on that binti, never mind the e-mail thing. 😡

gadafi mabody guard wake wote wanawake kwa hiyo isngekua big deal
mkulu macho yalimtoka akaaidi tanzanite, ingekua wewe si ungempa mgodi mzima
 
hivi katika hali kama ile tujalie rais kikwete amekuwa na harakati nyingine za kiserekali nje ya nchi badala yake awakiliswe na mheshimiwa rais wa zanzibar dr ali abed aman karume na kukabiliwa na swala kama lile aliloulizwa kikwete hivi leo nchi hii ingetafsiriwa vipi katika ulimwengu huu

acha kutafuta ugomvi humu ndani
hehehe....
 
pamoja ni mwizi kama kweli yanayosemwa maana wanamtandao waliwamwita dr. Salimu mwarabu wa oman!!

CHOKONA NAOMBA UNIPE DETAILS
hivi ni ukweli dr salimu walimuita mwarabu au porojo tu mimi sikuwepo bongo kwa hiyo sijui
 
Nyani my friend, thank you for speaking up! Huu ni upuzi kusema eti wa kumlaumu Aisha!

Kuhani mkuu, napingana na wewe, Aisha hajamdharau mtu, unapoingia katika discussion panel kama hizi, hamna cha rais wala nani. Uko pale kama mjenga hoja (siyo rais au president of IFM) na pia bosi wa ukumbi ni moderator (Aisha), hizo ndizo rule. If you don't like it don't attend. hakuna aliyemlazimisha Kikwete ashiriki, ni kwamba alitaka kuuza sura aonekane CNN! Period. And that comes at a price. Na Aisha ali-establish mwanzo kwamba ukiongea sana she will cut you off, hebu angalia pale mwanzo alipoji-introduce.
JK alijidhalilisha katika efforts zake za kuuza sura, hakuna aliyemdhalilisha au kumwaibisha!
Nimemtumia email dada Aisha nikimpongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya na kumpa pole for sexist remarks from Jk kuhusu Tanzanite ... kwikwikwiii! Angekuwa moderator wa kiume JK angem-offer Tanzanite? That's sexism my friend, na awe macho maana Marekani kitu kama hiki si mchezo! Pia kama unataka kuponda nguo aliyovaa Aisha naomba nikuulize ni utamaduni gani wa mtanzania wa kuvaa huijabu. Mabibi zetu walitembea kifua wazi na manyasi. Hebu acha kuleta hoja zisizo maana!
 
Supa dupa big ups......
 
Mkodoleaji,

Kile kivazi Isha asingevaa kama angekuwa ana moderate ule mdahalo ndani ya Tripoli. Kwa nini, kwa sababu wanaheshimu utamaduni wa watu wa kipande kile. In fact angejipiga ushungi na hijabu na baibui and all that. Laura Bush style. Kwa nini, kwa sababu them people wa kipande kile huwa hawataki ujinga. Na watu wa CNN International huwa wanategemewa waheshimu desturi za local culture.

Sisi Waafrika wa sub-sahara ndio dada anakuja ku moderate an African orientated forum na ki blauzi kinaonyesha vikamba vya shimizi! Mbele ya dignitaries lukuki. Yani sijui kwa nini nilisahau kumwambia kuhusu kile kinguo. Na moja ya themes ya ile forum, kama alivyosema yule activist musician mwenye macheni makuuubwa (by the way, pale Nyerere asingekaa pale, in fact kuna wakati yule bishoo alitukana "shit") kama alivyosema wazi wazi yule mzungu mwenye macheni "acheni kuwa ma supplicants." Kuhofia hofia hawa wadhungu hawa (Tanzania yule Isha ni mzungu!).

Tena usizidi kuniudhi kabisa Mkodoleaji, usicheke kabisa, nisije nikavuta waya CNN International sasa hivi kuchafua hali ya hewa on that binti, never mind the e-mail thing. 😡
Mkuu mavazi ya kitamaduni ya kitanzania ni yapi?.....ulitaka avae nini?

pili Ishay kanifanya niitazame video yote kama angekuwa dina marious wa clouds Fm ana host debate nisingeangalia.......kidada kizuri kama hiki ingekuwa ni mie ningemwaga mijipoint mpaka basi.....

tatu suala la jk.....nicheke tu.......maana ni aibu.
...nawezaje kuidaunilodi?
 
Let us give our Presidaa a brake wanajamii.

kwa kweli huyo mtangazaji ananiweka majaribuni.
- Embu angalieni hizo chuchu zinavyotaka kutoboa sidiria!!!
- Embu angalia alivyoshika mic,,kama vile ameshika ile kitu,,,inaonekana ni mtaalamu wa kula cone vile!!!.

Swali la kizushi,,, anamchumba??? Naombeni jibu asap,, kwani siku izi pete ni urembo.
 
Yeah Mazee...preparation is key....

Preparations and rehearsals are great.
Ila tukubali kwanza kwamba kwa mkubwa kuna tatizo.
Ulimsikiliza alipotoa hotuba ya uzinduzi wa kampeni ya kupima VVU kwa hiari alisema "watu wana utafuta na kuununua ukimwi.....Kwanini uogope kupima VVU wakati unajua nyendo zako......acha kumtamani ..,"hivi alifikisha ujumbe gani kwa waliopata kwa kuhudumia waathika bila kujikinga,je waliombukiza kwa uzembe wa madaktari,vp madaktari walioupata kutokana na vifaa duni?
Jamani mimi nalia uuwii hi hi
 
mkutano ulichukua mda mrefu kwa ajili mwenyeji(kikwete) alikua anatumia mda mrefu sana kujibu maswali.

Aisha amemuheshimu sana kikwete, ilitakiwa kila saa anamkatisha na kumsisitizia kwenye point anayotakiwa ajibu, na arudie kuijibu, badala yake yeye alikua anamkatisha na kumuuliza mtu mwingine kwa hiyo kikwete alikuwa anapona (she was letting him off the hook all the time). "labda kwa ajili ya tanzanite"

kwa wale wa uk kama unaangalia bbc newsnight, jeremy paxman angemtoa roho kikwete or john snow wa channel 4.
 
Let us give our Presidaa a brake wanajamii.

kwa kweli huyo mtangazaji ananiweka majaribuni.
- Embu angalieni hizo chuchu zinavyotaka kutoboa sidiria!!!
- Embu angalia alivyoshika mic,,kama vile ameshika ile kitu,,,inaonekana ni mtaalamu wa kula cone vile!!!.

Swali la kizushi,,, anamchumba??? Naombeni jibu asap,, kwani siku izi pete ni urembo.

Ikena, we kweli ni mzushi, sasa kama akili yako ilibaki kuangalia chuchu za Aisha badala ya kufuata mjadala basi nadhani ulikuwa huelewi hata mjadala uliokuwa unaendelea. Na hivyo umemweka rais wa nchi yetu level moja na ya kwako which I wouldn't dare but maybe you are right. Hivi kwani hawakuwepo wanaume wengine waliochangia tena kwa point? Wale kwa nini hawakuwekwa majaribuni kama unavyodai.
 
Heheheheheee....raisi wetu mchemfu mno. Kaulizwa swali jepesi, la moja kwa moja na yeye badala ya kutoa jibu la moja kwa moja anaanza ku-ramble kama huyu blonde....

[ame=http://www.youtube.com/watch?v=lj3iNxZ8Dww]YouTube - Miss Teen USA 2007 - South Carolina answers a question[/ame]

Halafu watu wanaanza kumlaumu Binti Sessay....
 
kwa wale wa uk kama unaangalia bbc newsnight, jeremy paxman angemtoa roho kikwete or john snow wa channel 4.

Hata mimi nilikuwa nawaza kama Kikwete angeweza kuhimili ma hardball ya marehemu Tim Russert and the likes....
 
Back
Top Bottom