Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Elfu kumi ni pesa ambayo napambania kwa siku...Umbali wote huo kumfata demu ukute akakupa na zawadi ya UTI sugu ππ
Vijana oeni, waifu material bado wapo wengi kitaa ambao unaweza kumpatia shilingi elfu 10 akaifanyia Bajeti ya kula Siku 3
Jf imekua sehemu muhimu sana kwangu ni vile kuna wenzangu bado hawajastuka ...Kama bado unajifunza kupitia makosa, bado una mengi ya kujifinza
Duh nimeshituka nikazn tayar.Wala nipo sawa ila tuu najaribu kuwakumbusha vijana wenzangu huku ndani
Weee madam hakijanilamba nipo powaa kabisaKimekulamba au sio.....
Mkuu ujajua tuu l.. deep downMbona mbagala hapo pana uhakika sana
Kwa sasa nipo safe na natembelea upepo wa condomMishangaziπ‘
unakula kavu kumbe mwenzio anabugia vidonge na hakwambii,
Ila wanawake ni viumbe hatari sana.
Ice huko nishatoka sasa nipo safe mimi ila kuna watu nawaonea huruma sanaWiki sasa sina amani
Habari za muda huu ndugu zangu, Wakuu nina week sasa nimekuwa na hali ya unyonge tangu nikutane na kopo la vidonge kwenye droo la huyu mwenzangu. Hali ambayo imenistua zaidi hivi vidonge nina asilimia mia ni vya HIV. Kuna siku nilimfuma anakunywa kwa siri nikauliza akasema ni dawa za vidonda...www.jamiiforums.com
Tujikumbushe. ππ
Is not easy mkuu... Nipo vzri najielewa sana ila sasa nataka niwajuze vijana wenzangu aiseeee kuwa haya mambo yana athari kimwili na kirohoDuh nimeshituka nikazn tayar.
Hiyo hiyo itatosha MkuuElfu kumi ni pesa ambayo napambania kwa siku...
Usishauri niowe wakati siwezi kumudu mahitaji ya mwenzangu financial mkuu
Mkuu kuwowa bado sana aiseeeeHiyo hiyo itatosha Mkuu
Huku mambo ni mengi sana, mengine sio rahisi kufikirika π€Jf imekua sehemu muhimu sana kwangu ni vile kuna wenzangu bado hawajastuka ...
Kuna mambo huwa najifunza huku..
Ila all in all vijana wanaendekeza sana ngono zembe mkuu
cc Mpaji MunguVijana oeni, waifu material bado wapo wengi kitaa ambao unaweza kumpatia shilingi elfu 10 akaifanyia Bajeti ya kula Siku 3
Uzima upo...?
Kuna circle sio za kuingia kabisa.....When something is wrong and you feel you can't even Climb a hill or do anything positive
Just turn back and ask the guidance from ur ancestors .
Well said mkuu...Kuoa -ikiwa moyo wako unawaka tamaa Sana just get married.
Maana Sex can shake ur pocket and health.
Wa kutosha.Uzima upo...?