Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Elfu kumi ni pesa ambayo napambania kwa siku...Umbali wote huo kumfata demu ukute akakupa na zawadi ya UTI sugu 🙌😜
Vijana oeni, waifu material bado wapo wengi kitaa ambao unaweza kumpatia shilingi elfu 10 akaifanyia Bajeti ya kula Siku 3
Usishauri niowe wakati siwezi kumudu mahitaji ya mwenzangu financial mkuu