Is She The Worst President Ever(Tz)?

Ungekua wewe ndiye Rais ungefanya nini, kama mafuta hayashikiki huko duniani? Porojo tupu za mitandaoni
 
Ungekua wewe ndiye Rais ungefanya nini, kama mafuta hayashikiki huko duniani? Porojo tupu za mitandaoni
Wewe zero brain mafuta gani hayashikiki Duniani? Nchi jirani ambazo zinapitishia Mafuta bandari ya Dsr es Salaam mafuta yanakuaje bei chini, wao wanaiba?

Ona nchi nyingine wanachokifanya

Jitahidi kutumia akili ndogo ulizonazo kufikiri hata kidogo tu.
 
Kumlaumu Raisi na mfumuko wa bei ya mafuta ni upungufu wa kitu kichwani....
Jambo la mafuta ni la dunia nzima hili..

Ni kweli Mzee, hata ule mrundikano wa kodi kwenye mafuta ni suala la kidunia. Marekani lita ya petrol ni shilingi 3400 ambapo shilingi 3000 ni kodi na shilingi 400 ndio bei halali ya mafuta. Mama ajengewe sanamu Dodoma, anaupiga mwingi unamwagikia.
 
Duh...
 
She's heading there. Tatizo lake huyu Mama hajiamini....anamsikiliza sana Kikwete mtu aliyeshimdwa kuomgozahiltaiafa)
 
mnhhh,,,,give her time mkuu..... kushindwa kufika shule sababu ya nauli kupanda, unaongelea Tanzania hii hii tunayoijua...wapi umesikia hivyo..mnhhh
Itakuwa unaishi masaki au sehemu za kishua unadhani kila mtu anaenda kwa school bus shuleni.

Tanzania hii tunayojengewa vyoo kwa misaada unashangaa nini mtu kukosa nauli ya kwenda shule ?
 
Inflation is not the only factor/parameter used.

Remember , Tanzania had inflation before the war in Ukraine.

Have you heard about the return of Panya road...
 
Kumlaumu Raisi na mfumuko wa bei ya mafuta ni upungufu wa kitu kichwani....
Jambo la mafuta ni la dunia nzima hili..
Wewe ndiye una funza kwenye kichwa, au huenda huna hata hicho kichwa.

Tumeona nchi nyingine wameenda kununua mafuta russia kwa bei ndogo.

Tumeona nchi nyingine wakitoa ruzuku kwenye sekta ya Nishati.

Tumeona nchi nyingine wakiondoa utitiri wa kodi kwenye mafuta.

Tanzania imefanya kitu gani zaidi ya kurudisha ile Tsh 100 waliyoitoa hapo awali ( tena katikati ya crisis).

Hivi una akili timamu kweli wewe ?
 
By far and away, Tanzania's worst leader since independence
 
Ni kweli Mzee, hata ule mrundikano wa kodi kwenye mafuta ni suala la kidunia. Marekani lita ya petrol ni shilingi 3400 ambapo shilingi 3000 ni kodi na shilingi 400 ndio bei halali ya mafuta. Mama ajengewe sanamu Dodoma, anaupiga mwingi unamwagikia.
Hawa watu ubongo wao uko kwenye makalio.

Yaani kwa vile tatizo ni la kidunia ndio tushindwe kutafuta solutions !!
 
Hewa tu wewe...unajua taratibu za kununua mafuta? Au unafananisha Tz na China au India..
 
Ukiangalia kwa ujumla maraisi wote kutoka dini hii ni ovyo kabisa.
 
Hata kama kuna Vita ya Ukraine na corona , lkn yeye kama Rais anatusaidiaje? Wao kama serikali wanatusaidiaje?
 
Inflation is not the only factor/parameter used.

Remember , Tanzania had inflation before the war in Ukraine.

Have you heard about the return of Panya road...
Yeah, I heard about that.
Then that among others should be her baby!
 
Huyu mama hatoshi kabisa kwenye hiyo nafasi. Hotoba zake ni hovyo, mama wa mipasho sijui washauri wake wanafanya kazi gani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…