Hahahahaha tuta wapita, tuta amka, tuta tuta tuta..... Simtupite kwanza.... In 2010 Ethiopia ilitupita..... In 2013 KENYA IKAPITA ETHIOPIA toka hyo mwaka Ethiopia imekaa nyuma yetu tu!!!!..... Mtupite kwanza ndio mwanze kupanic...... Somalia itawapata hapo na iwaache already Somalia iko na 4 midsized airlines juu Bara bara zao hazipitiki wakiwa na peace hamtawaona ng'weeee!!!!!
Ethiopia iko mbele ya TZ, hata DRC itawaacha tu.....
Hahahh foreign interest!! Ndio maana wanawake wa Kenya wanaolewa na wazungu sababu ya foreign interest! Nyie watu mnachekesha sana. Ni hivi sisi hatupelekwipelekwi na hawa mnawaita foreign interest, tunafanya maamuzi yetu wenyewe. Mzungu atabakia kuwa mkoloni tu hatumhitaji kwetu Tz. Mnaacha kujivunia vya kwenu kila siku foreign foreign ndio maana wanawapindua kama chapati. Leo hao hao wazungu wanataka kuwatoa kwenye michezo sababu ya doping bado mpo foreign foreign my l.,$&g. Tz ni namba nyingine banaSo Kenya attracts that much foreign interest...
Hahahahaha tuta wapita, tuta amka, tuta tuta tuta..... Simtupite kwanza.... In 2010 Ethiopia ilitupita..... In 2013 KENYA IKAPITA ETHIOPIA toka hyo mwaka Ethiopia imekaa nyuma yetu tu!!!!..... Mtupite kwanza ndio mwanze kupanic...... Somalia itawapata hapo na iwaache already Somalia iko na 4 midsized airlines juu Bara bara zao hazipitiki wakiwa na peace hamtawaona ng'weeee!!!!!
Ethiopia iko mbele ya TZ, hata DRC itawaacha tu.....
aiseeee una akili sana dogoIt is still very early days but it is good competition. Kwa maoni yangu, Tanzania has a strong general (Magufuli) and a weak army (Tanzania private sector, smaller tertiary educated class). Kenya nayo has a weak general (Uhuru) and a strong army (Kenya private sector, larger tertiary educated class). Time will tell.

Are you not the one who always brags that your country has the highest FDI..stop this petty talk..time yako ndio sina.Hahahh foreign interest!! Ndio maana wanawake wa Kenya wanaolewa na wazungu sababu ya foreign interest! Nyie watu mnachekesha sana. Ni hivi sisi hatupelekwipelekwi na hawa mnawaita foreign interest, tunafanya maamuzi yetu wenyewe. Mzungu atabakia kuwa mkoloni tu hatumhitaji kwetu Tz. Mnaacha kujivunia vya kwenu kila siku foreign foreign ndio maana wanawapindua kama chapati. Leo hao hao wazungu wanataka kuwatoa kwenye michezo sababu ya doping bado mpo foreign foreign my l.,$&g. Tz ni namba nyingine bana
Rubbish, who has got time to talk to you? Sina time na wewe mbu&&@iii!Are you not the one who always brags that your country has the highest FDI..stop this petty talk..time yako ndio sina.
Rubbish, who has got time to talk to you? Sina time na wewe mbu&&@iii!
So do I sina time huelewi au Kiswahili kigumu fiTime yako ndio sina...
Wengine ni wa kupotezea huyo hata sidhani kama anajua maana ya FDI.Are you not the one who always brags that your country has the highest FDI..stop this petty talk..time yako ndio sina.
Hata mimi naona hivyo.Wengine ni wa kupotezea huyo hata sidhani kama anajua maana ya FDI.
Wanasema kitu kama hakikutishi huwa huna haja ya kukishikia fimbo... ila waKenya mmeamua kutushikia gongo kabisa.. kuanzia pale tulipowanyang'anya bomba la mafuta..Wengine ni wa kupotezea huyo hata sidhani kama anajua maana ya FDI.
Hata mimi naona hivyo.
the deadline was over bro,and nothing has been done to date.Wanasema kitu kama hakikutishi huwa huna haja ya kukishikia fimbo... ila waKenya mmeamua kutushikia gongo kabisa.. kuanzia pale tulipowanyang'anya bomba la mafuta..
Halafu.. hivi lile bomba lenu mmeshaanza kulijenga.. au bado mnajipitisha kutafuta wawekezaji??
My friend,there is no bad blood between Kenya and Ug. If you keenly follow EA affairs,you will remember there was a time Kenya restricted import of sugar from Ug and life went on. The same with the pipeline.Wanasema kitu kama hakikutishi huwa huna haja ya kukishikia fimbo... ila waKenya mmeamua kutushikia gongo kabisa.. kuanzia pale tulipowanyang'anya bomba la mafuta..
Halafu.. hivi lile bomba lenu mmeshaanza kulijenga.. au bado mnajipitisha kutafuta wawekezaji??