Nyarwadhnyarwath
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 1,157
- 586
Acha ujinga, soma uelewe kabla ya kukurupuka. Wapi imeandikwa kuwa mwandishi ni Mtanzania? Mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.Na bado mtaisoma namba, miaka nenda miaka rudi, waliimba babu zenu, wakaimba baba zenu, mnauimba leo, mpo tayari kuwapokeza watoto wenu waimbe.
Huu ushakua wimbo wa taifa Tanzania, tutaipita Kenya, lazima Kenya ipitwe, hii Kenya haipo mbali, tutaipiga chini Kenya, Kenya itapitwa tu, kwani Kenya wana nini, Wakenya hawana chochote, mbona hawa Wakenya tutawapita tu, giant limeamuka na kuipita Kenya, Kenya kainchi kadogo tutakapita tu